Utabiri: Bingwa wa Uefa Champions League msimu huu atakuwa Man City

Naona wewe bado haumfahamu Benzema!
 
Hahahaa,balaaa sana Kuna dogo anaitwa Vinious JR na ndugu yake Rodrygo ukichanganya na mizee yao Benzema,Modric na Ton...Dah! Wanatisha hawatabilikiiiii....ingawa city mkali.
Aaah wapi.

City anatisha asikudanganye mtu.

Ile mechi yake na Bayern ndio ilikuwa mechi ngumu.

Kwa sasa madrid wameshuka sana viwango.

Kumtoa city ambao wamekamilika kila idara si kazi ndogo.
 
Kombe limabaki kwa Real Madrid. Wakiwa CHAMPIONS LEAGUE ni wengine kabisa. Subiri utaona
 
Wee unaUNAUMWA nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…