Utabiri: Baada ya 2020 bunge litakuwa live

Siwamilele

JF-Expert Member
Oct 22, 2019
288
730
Hii ni baada ya kuhakikisha hakuna mbunge hata mmoja wa upinzani anarudi bungeni kwa maagizo ya bwana yule. Baadhi ya hoja zao mpya zitakuwa hizi:
1. Tayari nchi imenyooka kwahiyo hatuwezi kuwanyima watanzania haki yao ya kutazama vikao vya BUNGE.
2. Lazima watanzania wawaone wawakilishi wao (wa CCM) wawapo bungeni
3. Kwa sababu wabunge wanaongea lugha moja na wanaimba pambio moja
4. Gharama za kurusha BUNGE live zimekuwa ndogo mno maana Tanzania yote niya kijani
5. Tunataka wanawake wote nchini wakione kipaza sauti chetu kipya (chakike) pale mjengoni kinavyo jimwambafy, baada ya lile Sea piano (Sab woofer) kuexpire!
6. Ni lazima sifa na utukufu vya mtukufu vitangazwe hadharani
7..........
8..........
9..........
........
........
........
 
Back
Top Bottom