Mgirik
JF-Expert Member
- Apr 27, 2013
- 13,204
- 13,184
Nakuelewa sana mkuu, hivi hyo profile pic inamaana gani?Nzuri kabisa,za wewe?
Nakuelewa sana mkuu, hivi hyo profile pic inamaana gani?Nzuri kabisa,za wewe?
Poa tuko pamojaShukran mkuu
Avatar nilijiokotea tu mtandaon hata sijui maana yake
Inawezekana, inakuwa labda hakuzaliwa huko.kwan wakat wa kutoka huko utakua ulipita wapi
huko aliko zaliwa bas ndo nyumbani kwaoInawezekana, inakuwa labda hakuzaliwa huko.
Mimi pia.Sipandi hiyo gari. Kisa cha kujiweka roho juu?