Utaalam wanaotumia Wachawi katika kuumiza watu

Mkuu update huu uzi basi tena uwe endelevu kabisa.

Na hii ndio mida mizuri ya kupata vitu HD kama hivyo.
 
Inawezekana kurogwa, mana wachawi hutumia pia majini katika kupata taarifa za mtu, ama pia hutumika katika kuficha Uchawi sehemu husika

Sent using Jamii Forums mobile app

Nimekuelewa kipengele (a) lakini hapo kipengele (b) sijakuelewa vizuri!
Kwamba majini pia hutumika kuficha uchawi sehemu husika ? Kwa vipi? Fafanua kwa mfano ili upate kueleweka vizuri !


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimekuelewa kipengele (a) lakini hapo kipengele (b) sijakuelewa vizuri!
Kwamba majini pia hutumika kuficha uchawi sehemu husika ? Kwa vipi? Fafanua kwa mfano ili upate kueleweka vizuri !


Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanza ifahamike kuwa kila mwanaadamu ana jini wake wa asili huyu anaitwa kariin (rafiki) jini huyu huambatana na binaadam once tu anazaliwa na atakua nae mpaka siku ya kufa kwake. Kariin huyu hujua mambo yote ya huyo binaadam anaeambatana nae, hivo basi mchawi ama mtu anaetaka kukuroga, anapoenda kwa mganga, mganga hutumia jini lake kisha humtuma aende kwa mtu husika, afikapo huko sasa kwa mlengwa lazima afike kwa kariin ili aweze kupata taarifa zako. Ndio ukienda kwa mganga tu tayari anakua ashajua shida zako ila mchezo unaochezeka ndio huu. Hio ni kwa ufupi tu kama hujafaham basi niambie nikujuze zaidi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Upumbavu mtupu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…