tilmikha
JF-Expert Member
- Feb 27, 2013
- 496
- 604
- Thread starter
- #61
Hahaha mkuu hii science isikie kamwe usiwish ikutokee, labda nikupekele kwenye mambo ya kawaida, hivi JK Rowling mwandish wa fiction novel ya Harry Potter, alijuaje sumbawanga Kuna wachawi?Mpumbavu ni yule ambaye hajui na anajua kwamba hajui. Bali yule ambaye hajui na hajui kwamba hajui huyo ni mjinga na ukimuelewesha ujinga unakwisha. Maana ujinga ni ignores..lkn upumbavu ni kipaji km urefu na ufupi. Ndo maana jamaa hapo kasema huu ni upuuzi. Hayo maelezo yako yote hayana uthibitisho wowote...hakuna kitu kinaitwa uchawi..hakipo hiyo ni dhana tu tena ambayo inajengwa na wapumbavu. Na hii dhana kwa kiwango kikubwa huwa inajengwa na kuaminiwa zaidi na makundi mawili. Masikini ambao wanajenga chuki dhidi ya waliofanikiwa. Na lengo la kutafuta uchawi huwa si kwa nia ya wao kutajirika bali kumroga Tajiri ili walingane. Kundi la pili ni la watu waliokata tamaa ya maisha! Hawa ndo hatari zaidi,maana kutokana na hali zao aidha za kukosa mali au kazi hata km wamesoma,na wale waliougua au kuuguliwa muda mrefu. Hawa wakidanganywa chochote huwa wanaamini. Na kundi hili ndo linasumbua hata mikoa ya njombe hv sasa kwa kufanya mauaji wakiamini kufanya hivyo watatajirika au kupata kazi...!!
Jambo moja ambalo watu hawajui,waganga wa kienyeji wanasoma saikolojia yako tangu wanapoanza kukuchukulia pesa. Mganga akiona amekula pesa yako nyingi,ndo atakupa hayo masharti ya kijinga,ama ukaue au kukabaka na lengo lake ukamatwe ili ufungwe maisha au miaka 30 ukitoka na yy alishakufa. Hakuna uchawi mkuu,huu ni upuuzi km upuuzi mwingine tu...
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app