Utaalam wanaotumia Wachawi katika kuumiza watu

Kutokujua ni jinsi gani uchawi unafanya kazi au kuelezeka kisayansi hiyo sio hoja ya kupinga kuwepo uchawi hata kama athari zake zipo wazi.
 
CHAPTER TWO: NYOKA NDANI YA MAJUMBA
Mpendwa msomaji natumai uzi utakukuta ukiwa katika hali ya afya, na kama hupo vizuri nakuombea upone haraka, kama unadhiki ya kifua tafrani zisizo na sababu natumai zitaondoka just little patience, hakuna raha zenye kudumu wala shida zenye kudumu, leo tuendelee kuchambua kwa urefu zaidi miongoni mwa yale ambayo tumekwisha kuyagusia hapo juu.
Maisha tunayoishi yana mengi, tunayayajua ni sehemu ndogo mno wa ambayo hatuyafahamu, unayopitia wewe pengine mwenzako alishapitia kitambo. Aliewahi kushuhudia mwishowa kumalizika vita ni aliefariki tu, kama upo hai mamabano yanaendelea, kwenye majumba yetu mna mambo mengi mno, mna makombora yamezikwa wala hatujui na at any time t yataripuka. Nyoka unapomuuona ndani ya nyumba usikurupuke kumtia marungu, narudia tena uskurupuke kumtia marungu, mara nyingi huwa sio nyoka, anaweza kuwa adui ulietumiwa (JINI) ama ni jini wa kawaida tu amemua kuchil nyumbani kwako. Sasa utafanyaje utakapokuta nyoka nyumbani, ni kuongea nane I know it does not make sense, ila ongea nae na mwambie maneno yafuatayo, '' nakuamrisha utoke " utamwambia haya maneno mara tatu, kama ni nyoka atabakia ndani hatatoka,kama sio nyoka atatoka, natumai tupo sawa mapaka hapo.
MWANZA: FEBUARY 2007
Credit to Nicholas Belo; ilikua ni sehemu ya DISSERTATION iliyowasilishwa katika chuo kikuu cha Virginia mwaka 2003.
Ni kisa cha mama mmoja mkaazi wa Mwanza, alikua na miaka 40, mnene na anaevutia kwakua maisha yake ayakua sihaba anajiweza, hapo ilikua kabla ya kupata mazonge,natumai umewahi kusikia kuwa ukimwi si janga janga mazingara , au bado ? omba yasikukute, huyu alikua ni mwenye afya yake vizuri tu , alianza kuhisi miguu inamuaka moto, hii hali ilikaa kama mwaka mmoja, badae ikafuata ganzi ilionzia dole lagumba hadi mapajani. Kama ilivyokawaida ya watu wanapopata ugonjwa nae akaanza kwenda hosptiali kwa ajili ya kutafuta matibabu,na alienda hospitali ya Bugando,akafanyiwa vipimo mbalimbali na madaktariwakashindwa kumtibu seuze hata kujua alikua anaumwa na nini. Baada hospitaliya Bugando kushindwa kumtibu wakamwambia aende hospita ya Taifa Muhimbili, huko nako walishindwa kumtibu, kadhalika alienda hosptilai ya Litheran Moshi ambapo pia hakufanikiwa.
Hali yake ya afya ilizidi kudhorota, mchana asiweze kula usiku asiweze kulala, majirani wakamdhushia ana ukimwi. Mwaka huo huo aliamua kurudi tena Hospitali ya Bugando na kulazwa takribani mwezi mmoja huku wataalamu wakiufanyia utafiti mwili wake kuweza kujua kinachomsumbua ( Sometimes science fails,muache ubushi). Ganzi ikafika sehemu za mikononi, wakamruhusu kutoka na dawa za kupunguza maumivu ila hazikuweza kumtibu.
Mpendwa msomaji, unapopata tatizo la ganzi ukiwa uanaendelea kutumia dawa za hospitali basi nakushauri pia kufanya yafuatayo, ukiwa ni mkaazi wa maeneo yaliozungukwa na bahari basi tembea miguu peku yaani bila ya viatu ukiwa beach, au hata kama sio mgonjwa basi kuwa na utamaduni huo pia ni tiba sana . Kama upo mbali na bahari basi tafuta mchanga au udongo ulio msafi uteleke katika chungu cha udongo kiasi chakupata moto kiasi kisha mimina huo mchanga sehemu kisha kanyaga kwa miguu yako, na kule beach apart from kutembea miguu peku basi chimba shimo la kiasi cha mpka mafutini, halafu mfukie mgonjwa huku amesimama, hata aliepata stroke inasaidia sana.
TAHADHARI
Kuwa makini sana unapokwenda kutembea ukanda wa Pwani, sababu ni kuwa sehemu hizi zimebobea ushirikina pia ndio mlango ambao uchawi ulipitia. Kuwa makini sana usije kutembea miguu peku peku kwenye haya maeneo kama wewe ni mgeni. Pia unaposafiri katika vitu pia nakushauri ubebe ni maji, naam maji haya maji ya kunywa , vinginevyo uwe usije kuthubutu kunywa maji ya ugenini pasi na kuyachanganya na maji uliotoka nayo, ah sawa utanunua tu, sambamba na hayo, unapofika katika bango ambalo linakuonesha unaingia mji mwengine usiache kumuomba muumba akukinge na shari za huo mji na watu, kama huamini mungu siwezi kukusadia najua mentaly hupo sawa.
Hivi hujawahi kusikia kuna baadhi ya maeneo hapa Tanzania yana siku maalumu za kwenda?! Naam nitakutajia mawili tu mengine utashea na sisi hapo chini, hayo maeneo utadhani ni Area 51, kuna kisiwa kinaitwa Tumbatu, ni sehemu ya Zanzibar, kabla ya kuingia Tumbatu kuna kisiwa chengine kidogo hichi kisiwa kina siku mbili ambazo watu hawaendi, na ukiingia tu katika kisiwa hiki ukiacha wale raia kujua kuwa wewe ni mgeni basi hata majini wa huu mji wanajua na wanawapa habari wale wenye majini vichwani details zako wapi unatoka. Sehemu nyengine alikotokea mama, kuna pango la miza wa miza hili masharti yake haiingii mtu mwenye janaba, au mwenye hedhi. Ikiwa kweli au sio kweli muhimu usiingie miji ya watu kizembe. Nitakupa mkasa uliowakuta wakandarasi wa kichina, hawa mabwana walipewa tenda ya kutengeneza barabara, ikafika muda wanataka kutengeneza daraja hilo daraja linaitwa mto wa Pweza , ni sehemu ndogo mno ila walichukua masiku kutengeneza kila wakitengeneza linaharibika mpaka wakachinja mafahali saba ( madume ya Ngo'mbe). Hio sehemu waliokua wakifukua ilikuwa imezikwa mikombora ya watu ya masafa marefu.
Sasa turudi katika simulizi yetu ya mama wa Mwanza, tokea mwaka 1999, huyu mama alikua na hali nzuri mno, mpaka pale miguu yake ilipoanza kumuwaka moto, baada ya kuhangaika hospitali bila ya mafanikio alienda kwa wanganga (matapeli) hapo alishakata miaka 5 hajui kinachomsumbua, waambiwa idadi ya waganga aliowaendea wanafika takribani 50, na walikua makabila tofauti, wawili kati yao walikuja na theory inayofanana, walimwambia kuwa ametafunwa na nyoka . Haya maelezo yalimshitua sana kwakua anakumbuka kuwa aliwahi kuona nyoka nyumbani kwake mwanzo wa kuanza ugonjwa.
Nishaeleza mwanzo wa huu uzi wetu namna kurogwa kunavyoanzia , na hapa nakukumbusha tena bro, kurogwa hakutokei in a day, utajua tu kama unataka kufanywa mahabusu au mfungwa kabisa, ila hakuna nyakati tunaweza kusema kuwa shetani kafanikiwa kama hizi tulizonazo, fanikio hili la kuwaamisha watu wasiamini yale ambayo hayana ushahidi wa kugusa hili ni fanikio kubwa mno. Bro hizi vitu endelea kuzisoma tu humu humu omba zisikufike, wala sio kwamba natisha watu, I have seen alot nimejifunza mengi pia, what I tell you, usipuuze ndoto uziotazo , ndoto ndio mlango baina ya hii releam yetu na isionekana, so kitu cha mwanzo ambacho watakufanyia ni kukata hii network ( NDOTO) mpendwa kama huooti jua huna mda tutasikia wakisema target locked, haya wewe endelea kuona hizi ni ngano, kutojua kitu halafu ukawa hujui kama hujui ni daraja ya kwanza ya ujinga.
Mnamo mwaka wa 2006, alifiwa na dada yake hali ambayo ilipelekea kuzidi kumuumiza, akazidi kudhoofika mpaka kisaikolojia, hili jambo lilimplekea aende kanisani, huko pastor akamwambia kuwa ana nyoka katika Mahips yake ambae anakua kila siku kitendo ambacho kilimsababishia ile ganzi, akamuambia pia dada yake aliuliwa na jini mbaya mno. Haya maelezo yalizidi kumake sense kwa mama wa Mwanza kwa kuunganisha dots na yale maelezo ya mwanzo aliyopewa na waganga na yulenyoka aliemuona nyumbani kwake. Vilevile aliona usingizini mwake joka kubwa saizi ya ukubwa wa binaadamu. Hadi mwaka wa 2007, anasimulia huu mkasa wake kama nisehemu ya tafitialishapoa.
BACK IN TIME: MADINA PROPHET MUHAMMAD ERA
Ushachoka kusoma ee, wanaokuwinda hawalali, kuna mmoja katika wafuasi wake alioa, baada ya kwisha harusi alienda nyumbani kwake na kumkuta mkewe yupo nje, akamuuliza kipiki kimemtoa nje , yule bibi harusi akajibu kuwa chumbani kuna nyoka , yule bwana harusi akaingia ndani na kupambana nae, hii vita aliimaliza lwa kufanikiwa kumuua yule nyoka,ila na yeye hakupona. Ndio maana nikakwambia wali pale zungumza na nyoka in a dipolamatic way kabisa , akitoka jua hakua nyoka. Hapo utakuwa umeshakwepa vita ambayo hata ukiuungana na waganga wa kabila lako lote hamtaiweza.
Mpendwa kisasi cha majini watalipa hata wajukuu wako wakikushinda wewe, stay safe.
Next namna nilivyopata kitabu cha kichawi na kilivyoporwa.
 
Endelea kusimulia ndugu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom