Baada ya kufuatilia bila mafanikio,nilimtafuta meneja naye anatoa ahadi hewa.Jana kasema mafundi watakuja Lakini hawakuja,Leo nikarudi akaniahidi Lakini hawakuja.sasa sijui nifanye?Nenda moja kwa moja uonane na manager wa sehemu husika.
Mueleza namna gani ulivyotaabika na kukosa msaada kwa watu wake
Uliwapa hela ya mafuta?Baada ya kufuatilia bila mafanikio,nilimtafuta meneja naye anatoa ahadi hewa.Jana kasema mafundi watakuja Lakini hawakuja,Leo nikarudi akaniahidi Lakini hawakuja.sasa sijui nifanye?