Sawa tumekusikia na tutalifanyia kaziUbalozi mwingine unaosumbua Sana ni Belgium kuna mdada wa kitanzania yuko reception anaomba rushwa wazi wazi naomba watu wa foreign affairs mumchunguze huyu dada ushahidi upo
Serikali iangalie kinachoendelea katika ubalozi wa Italia hapa Dar kwa vile ubalozi umeweka vigezo vya kupatiwa visa, jambo la kushangaza ni kwamba hata ukitimiza hayo masharti waliyoweka bado hawatoi visa tena bila maelezo na hela inakuwa imeenda.
Ni kawaida kukuta watu wanalipia maombi zaidi ya mara moja lakini hawapatiwi visa zao kiasi kwamba tunaanza kupata hisia pengine ubalozi umeamua kufanya biashara.
Imefikia hatua unaagizwa nyaraka ambazo hazikuainishwa katika masharti yao.
Kwani hicho unachohangaika kukifuata huko nchini Italia hapa Kwetu Tanzania umehakikishiwa kuwa hakipo? Hebu tuanzie hapa Kwanza tafadhali.
Kuingia na pipa kuna raha yake.Mkuu unahangaika nini kuchoma hela kila siku na visa hupewi wakati kuvuka Mediterania hapo chap upo Italy
Shida ndio hiyo ukitaka kuingia kihalali unazungushwa utadhani unataka visa ya kuingia mbinguni.Kuingia na pipa kuna raha yake.
Aisee mbona hii hatari sanaUbalozi mwingine unaosumbua Sana ni Belgium,kuna mdada wa kitanzania yuko reception, anaomba rushwa wazi wazi, naomba watu wa foreign affairs mumchunguze huyu dada,ushahidi upo
Italy ndiye mhanga namba moja wa waafrica wanaozamia na zile boti zao wakitokea Libya baada ya safari ndefu kwenye jangwa n.kWao wazungu wanapokuja afrika wanasema wanakuja kwa kutalii mbuga za wanyama na bahari. Lakini sisi tukisema tunataka kwenda kwao wanasema tunataka kuzamia, hivi hakuna waafrika wanaofanya utalii?. Hivi waafrika wote tunaonekana tunakwenda ulaya kwa kubeba boksi?
Ndukiiiii 🏃♂️🏃♂️🏃♂️
Mm Nina Schengen visa pâle ulaya natembea nchi zaidi ya 25 free austria pia nimefika sana, Belgium, Hungary,nkNaombeni Msaada nimeomba visa ya austria kupitia ubalozi wa belgium nimeambatanisha kila kitu adi documents za nilipo ajiri Bank statements, mktaba wa kazi na kila kitu... Sasa siku yangu ya kusafiri ilikuwa imeshakalibia nikaenda kufatilia kuna mdada pale mtanzania akaniambia file langu boss wako kasema litatumwa belgium.. Which it will take almost 2months.....na sababu eti boss wao hawa amini kama nitarudi niliomba visa ya 2weeks visit visa.... Ivi navyoongea passport yangu bado hawajipa wanayo sasa hapa sijui ndo nishanyimwa au
Oooooh mara ya kwanza ulipata schengen visa kupitia nchi gani Tanzania na ilikuwa je ukipata usumbuvu wowote???Mm Nina Schengen visa pâle ulaya natembea nchi zaidi ya 25 free austria pia nimefika sana, Belgium, Hungary,nk
Nafanya kazi na shirika la wajerumani cologne
Pichani Ni jengo la ubalozi wetu jijin BerlinView attachment 1087799
SHuyu mleta mada hajapata hiyo visa hadi Leo.....
Sijapata bado na passport yangu bado wanayoHuyu mleta mada hajapata hiyo visa hadi Leo.....