Usumbufu Uhamisho wa Wanafunzi wa Primary ktk ngazi ya Wilaya (Kinondoni)

mbango

Member
Feb 18, 2017
34
17
Kuna usumbufu mkubwa katika zoezi la uhamisho wa wanafunzi ktk ngazi ya wilaya hususan wilaya ya Kinondoni.

"Tupo hapa tangu asubuhi na hivi sasa ni saa tano na robo. Wamekusanya makadi yetu na kutulazimisha tutoke nje kabisa tukatujifiche chini ya miti".

Kwa hakika zoezi hili linalofanyika ktk siku maalum linatuletea usumbufu mkubwa. Tunawaomba wanaohusika wajali muda wetu kama tunania njema yakujenga nchi yetu.
 
Back
Top Bottom