Asprin
Platinum Member
- Mar 8, 2008
- 68,487
- 96,981
Mkuu Teamo hii makitu inauzigi sana asee... Ndo maana itabidi tujikusanyekusanye tu tuhamie kitaa pale kwa Epson. Unamsoma Mamndenyi hapa chini? Nadhani angekuwa jirani yako ungeshamlamba kelbu kazaa:der:Jamani salama lakini?..
Awali ya yote tutakiane heri ya mwaka mpya wa 2013...!
Ndugu wana-jf naamini kabisa kuna watu humu jamvini wana maisha ya kawaida kabisa ya kitanzania ambayo hata mim ninaishi...!kwamba kuna watu tunaishinyumba za kupanga ambazo unakuta kuna facilities ambazo mnafanya costs sharing ikiwemo umeme,maji,kulipia watu wa kutoa taka,n.k...
Sasa kuna baadhi wa wapangaji wenzetu wamekuwa na tabia za ajabu sana zinazoashiria kukosa ustaarabu kabisa...!kwamba inapofika muda sahihi wa kuchanga kiasi fulani cha fedha kwa ajili ya kukabiliana na bills mbali mbali wao huanza mbinu mbinu zisizo na tija...mara mtu anaanza kurudi usiku mnene na kujihimu kuondoka....mara mtu anakuja na kauli ya 'sina hela' mpaka mwisho wa mwezi.....!mara anakuwa mkali...!lakin the same person ndiye anayeungurumisha hita na majiko ya umeme 24/7...halafu huyo huyo unakuta ana bustani ya mchicha uwanjani...
Sasa mimi nashindwa kuelewa kwamba kuna ugumu gani wa kuyapangilia maisha yako na familia yako ukiwa unajua uwepo wa hizi gharama?....kwanin lakikuna watu hapa tunapoishi wanatukwaza sana...anasababisha tuwe tunalipa penalties kila mwezi!......
LEO NINAOMBA TUJADILIANE NAMNA YA KUISHI KWA USTAARABU KWENYE NYUMBA ZA KUPANGA....kwa sababu haya maisha usipokuwa pro-active kwenye nyumba ya mwenzio utawezaje kumanage bills kwenye nyumba yako?.....
Tusaidiane jamani
Nlisahau kukutakia heri ya mwaka mpya wewe pamoja na Mshiki na Ileenhehe....
Heri ya mwaka mpya na wewe pia.
Nyumba ya kupanga bana inataka mkutane walau wetu wenye kufanana kwa tabia, vinginevyo usumbufu ni lazima mkuu.
Nakumbuka mimi nilikuwa naishi sinza nilipoanza kujenga kimya kimya sikulipa umeme wala maji wala hela ya kuzoa takataka,
wakanishtaki kwa mama mwenye nyumba, siku anakuja kwenye kesi ndo siku nahama, nikampa maneno mazuri tu kuwa nikipata hela nitalipa chukua namba yangu ya simu, (wakati huo nilikuwa bado sijamjua Mungu vizuri), mwisho wa yote niliwaachia deni wenye nyumba kwa kuwa nilikuwa nakaa nyumba nzima ya uwani.