Two iraqi men, aged 28 amd 34, who live in Lincoln, Nebraska, married two iraqi girls, aged 13 and 14, in a private Islamic ceremony attended by family and friends...
...Uhh huh, hivi unajua katika umri huo 12-14yrs Virgin Mary ndipo alipokuwa na Joseph?
...Anyway, hapa tunazungumzia madhambi ya Islamic Ustaadh na sio Mary.
yalitoka wapi?Originally Posted by MaxShimba
Haya tusome ukweli kuhusu Uislam na Mashoga.
Kitabu cha Bukhari kinasema:...(blah, blah, blah..)
Chuki yako kwa dini ya Kiislamu inajidhirisha katika matumizi ya maneno yako kama Mwamedi,Mudi,,,,,,yaani kuonesha dharau kwa Mtume na wafuasi wake.
Watu wastaarabu huwezi kuwaona wakitumia maneno kama Jeez...Chizi au Jizazi...kutokana na hate.Hii ni dallili ya kukosa malezi ya Kiimasihiya halisi na kufuata mafundisho ya shetani.
Media ya West na propaganda za hate against Islam zikimkuta mtu jahili aliyejaa chuki kama wewe basi hapo umefika.Kwa maneno mengine huyo roho wa shetani amekwishajenga ndani ya ubongo wako.Huwezi kujikwamua kwa sababu umeshakuwa sugu.
Ukristo haukufai kabisa...jiunge na dini ya mashetani.Uislamu ndiyo kabisaaa....hautaonana nao kwa sbabu makao yako ni ya moto usiozimika!
...Uhh huh, hivi unajua katika umri huo 12-14yrs Virgin Mary ndipo alipokuwa na Joseph?
I can see that you don't even have a clue. When was Mary conjugaled? How old was Mary when she had Jesus?
When forty years of age, Joseph married a woman called Melcha or Escha by some, Salome by others; they lived forty-nine years together and had six children, two daughters and four sons, the youngest of whom was James (the Less, "the Lord's brother"). A year after his wife's death, as the priests announced through Judea that they wished to find in the tribe of Juda a respectable man to espouse Mary, then twelve to fourteen years of age. Joseph, who was at the time ninety years old, went up to Jerusalem among the candidates; a miracle manifested the choice God had made of Joseph, and two years later the Annunciation took place
source; CATHOLIC ENCYCLOPEDIA: St. Joseph
Jibu maswali ya Mary.
"Therefore the Lord Himself shall give you a sign: behold, the young woman [ha-almah] shall conceive, and bear a son, and shall call his name Immanu-el".[2]
Judaism affirms that [ha-almah] ("young woman") does not refer to a virgin and that had the Tanakh intended to refer to such, the specific Hebrew word for virgin [bethulah] would have been used.
Two male priests exchanged vows and rings in a ceremony that was conducted using one of the church's most traditional wedding rites – a decision seen as blasphemous by conservatives.
The ceremony broke Church of England guidelines and was carried out last month in defiance of the Bishop of London, in whose diocese it took place.
source; Male priests marry in Anglican church's first gay 'wedding' - Telegraph
Mbu said:..When forty years of age, Joseph married a woman called Melcha or Escha by some, Salome by others; they lived forty-nine years together and had six children, two daughters and four sons, the youngest of whom was James (the Less, "the Lord's brother"). A year after his wife's death, as the priests announced through Judea that they wished to find in the tribe of Juda a respectable man to espouse Mary, then twelve to fourteen years of age. Joseph, who was at the time ninety years old, went up to Jerusalem among the candidates; a miracle manifested the choice God had made of Joseph, and two years later the Annunciation took place
source; CATHOLIC ENCYCLOPEDIA: St. Joseph
It will not be without interest to recall here, unreliable though they are, the lengthy stories concerning St. Joseph's marriage contained in the apocryphal writings.
...Unreliable?... kwakuwa enzi hizo simulizi hazikuwa zinanukuliwa kwa maandishi au? vipi kuhusu sheria za ndoa kuhusu Hebrews pia katika Tanakh?
anyway,... ni kubadilishana mawazo tu, sio ushindani. Mimi ni msomaji tu toka kwenye hayo maandishi toka mikono ya waandishi.
Naamini Issa Bin Maryam ni nabii wa mwenyezi mungu, na alizaliwa ki miujiza kwa uwezo wa mwenyezi mungu. mambo ya umri wa kuolewa hao mama za mitume, na wake wa mitume enzi hizo tumuachie mwenyezi mungu na hukumu zake, ukisoma historia ya mitume wote, utastaajabu mengi.
Tuendelee kulaani paedophilia, kwa maisha ya kisasa, ya Musa tuyaache huko huko.
am out of this.
Hapa sio dini bali ni tabia ya mtu kama dini basi zile dini zinazofungisha ndoa mashoga ni zaidi.au zile dini ambazo viongozi wake huwa dhalilisha watoto kwa kuwanajisi basi zaid.hapa ni mtu mmoja lakini marekani mapadre wangapi.inaelekea katika JF wanaochemsha ni wengi kuliko nilivyodhani
...Kwa ufahamu wangu naamini hawa ni watu wawili tofauti kabisa hawana uhusiano wowote tena wanaojaribu kutuambia Issa na Yesu ni kitu kimoja ni wapotoshaji wakubwa.
Naomba kuwasilisha.
Naomba kuwasilisha hoja.
...Unreliable?... kwakuwa enzi hizo simulizi hazikuwa zinanukuliwa kwa maandishi au? vipi kuhusu sheria za ndoa kuhusu Hebrews pia katika Tanakh?
anyway,... ni kubadilishana mawazo tu, sio ushindani. Mimi ni msomaji tu toka kwenye hayo maandishi toka mikono ya waandishi.
Naamini Issa Bin Maryam ni nabii wa mwenyezi mungu, na alizaliwa ki miujiza kwa uwezo wa mwenyezi mungu. mambo ya umri wa kuolewa hao mama za mitume, na wake wa mitume enzi hizo tumuachie mwenyezi mungu na hukumu zake, ukisoma historia ya mitume wote, utastaajabu mengi.
Tuendelee kulaani paedophilia, kwa maisha ya kisasa, ya Musa tuyaache huko huko.
am out of this.
Kwani nani alikwambia kuwa tunashindana..Hapa tupo hapa kwa ajili ya kuhakikisha jamii ya WaTz inakuwa well informed na SIO BLAH BLAH na HALF-TRUTHS..
Sawasawa?