Nikipiga simu kupitia line ya voda inaniandikia ussd code running...huku ikiita,hapo siwezi kukata kama nabeep...nini tatizo ,natumia huawei nimeangalia kwenye setting kila kitu kipo sawa....naombeni mnidadavulie sabb a hii kituj jameni

Hilo tatizo lipo kwenye Simu za mediatek za jellybean. Hakuna solution ya kudumu Bali Ni Ku restart Simu tuu. Pia hutokea Simu inapokuwa busy Sana pale apps nyingi zinaporun kwa muda