Usomi wa Rais Magufuli na Kasumba ya Kiingereza

Phillipo Bukililo

JF-Expert Member
Dec 29, 2015
18,487
13,612
Lugha ni njia ya mawasiliano, ni chombo kinachotumika katika kuwasilisha ile hali ya kuelimika kwa jamii fulani. Wasomi wengi wa Tanzania wamepata elimu katika mataifa kama China, Russia, France, Germany na zile nchi za Scandinavia. Wengi wa wasomi hawa, mwaka wao wa kwanza ulitumika katika kujifunza lugha ya wenyeji, halafu miaka inayofuata ndipo huanza kusomea fani mbalimbali za kitaaluma.

Wale maprofesa ambao wanafunzi wa kitanzania wanalazimika kujifunza mwaka wa lugha ili waweze kufundishwa nao yale masomo ya fani, mara nyingi hawajui kabisa lugha ya kingereza.

Lakini kwa sababu kujua kingereza sio kuelimika, maprofesa hao wala hawaoni aibu kutokuijua lugha ya kingereza. Wameshaelimika kiasi cha kuigawa elimu yao kwa wanafunzi wa kigeni kutoka Tanzania, bila ya wao kulazimika kuwa watumwa wa lugha ya kingereza.

Kuna wale ambao wanamkejeli rais Magufuli, wakisema kwamba hapandi ndege kwenda Ulaya kwa sababu ya tatizo la lugha ya kingereza, wanasema kuwa anashindwa kuongea na wageni wa kimataifa kwa sababu hajui vizuri kingereza. Huyu anayekejeliwa ni msomi wa ngazi ya PHD, ambaye baadhi ya watu wanamkejeli kwa sababu ya kasumba ya kupenda vituu vya kigeni.

Maprofesa wa mataifa yasiyozungumza lugha ya kingereza, waliowafundisha wasomi wetu ambao ndio "vichwa" vya taifa hili, ni watu walioelimika bila hata ya kulazimika kuwa watumwa wa lugha ya kigeni kwao yaani kingereza.

Sisi tuliotawaliwa tunaona fahari kukifahamu kingereza!. Wakati hatuna maendeleo yoyote ambayo yanahusiana na kingereza, ambayo tunaweza kujivunia kwamba yametokana na sisi.

Tunamkejeli rais wetu tukisema kwamba hayuko vizuri kwenye kingereza, wakati hicho kiswahili chenyewe hatukijui!!. Hicho kiswahili ambacho ni lugha ya taifa kinaishia kutamkwa midomoni peke yake, hakuna maendeleo yoyote yale ya kiteknolojia ambayo yanahusishwa na lugha ya kiswahili kwa asilimia mia moja.

Miaka ya nyuma huko migodini wazungu ambao huko Uingereza na Australia walikuwa ni wafungwa, walipewa kazi na kulipwa mishahara mikubwa kwa sababu tu ya kuongea kwao lugha ya kingereza!.

Hawakuwa na utaalamu kuwazidi wataalamu wazalendo waliosomea VETA na vyuo vingine vya ufundi hapa hapa Tanzania. Ulimbukeni wetu ukawapa maisha bora wageni, kwa sababu akili zetu zilinasa kwenye mtego wa kubabaikia kingereza.

Watanzania tuachane na huu ushamba wa kuiona lugha ya kingereza kama vile ndio kila kitu maishani.
 
Lugha ni njia ya mawasiliano, ni chombo kinachotumika katika kuwasilisha ile hali ya kuelimika kwa jamii fulani. Wasomi wengi wa Tanzania wamepata elimu katika mataifa kama China, Russia, France, Germany na zile nchi za Scandinavia. Wengi wa wasomi hawa, mwaka wao wa kwanza ulitumika katika kujifunza lugha ya wenyeji, halafu miaka inayofuata ndipo huanza kusomea fani mbalimbali za kitaaluma. Wale maprofesa ambao wanafunzi wa kitanzania wanalazimika kujifunza mwaka wa lugha ili waweze kufundishwa nao yale masomo ya fani, mara nyingi hawajui kabisa lugha ya kingereza. Lakini kwa sababu kujua kingereza sio kuelimika, maprofesa hao wala hawaoni aibu kutokuijua lugha ya kingereza. Wameshaelimika kiasi cha kuigawa elimu yao kwa wanafunzi wa kigeni kutoka Tanzania, bila ya wao kulazimika kuwa watumwa wa lugha ya kingereza.

Kuna wale ambao wanamkejeli rais Magufuli, wakisema kwamba hapandi ndege kwenda Ulaya kwa sababu ya tatizo la lugha ya kingereza, wanasema kuwa anashindwa kuongea na wageni wa kimataifa kwa sababu hajui vizuri kingereza. Huyu anayekejeliwa ni msomi wa ngazi ya PHD, ambaye baadhi ya watu wanamkejeli kwa sababu ya kasumba ya kupenda vituu vya kigeni. Maprofesa wa mataifa yasiyozungumza lugha ya kingereza, waliowafundisha wasomi wetu ambao ndio "vichwa" vya taifa hili, ni watu walioelimika bila hata ya kulazimika kuwa watumwa wa lugha ya kigeni kwao yaani kingereza. Sisi tuliotawaliwa tunaona fahari kukifahamu kingereza!. Wakati hatuna maendeleo yoyote ambayo yanahusiana na kingereza, ambayo tunaweza kujivunia kwamba yametokana na sisi.

Tunamkejeli rais wetu tukisema kwamba hayuko vizuri kwenye kingereza, wakati hicho kiswahili chenyewe hatukijui!!. Hicho kiswahili ambacho ni lugha ya taifa kinaishia kutamkwa midomoni peke yake, hakuna maendeleo yoyote yale ya kiteknolojia ambayo yanahusishwa na lugha ya kiswahili kwa asilimia mia moja.

Miaka ya nyuma huko migodini wazungu ambao huko Uingereza na Australia walikuwa ni wafungwa, walipewa kazi na kulipwa mishahara mikubwa kwa sababu tu ya kuongea kwao lugha ya kingereza!. Hawakuwa na utaalamu kuwazidi wataalamu wazalendo waliosomea VETA na vyuo vingine vya ufundi hapa hapa Tanzania. Ulimbukeni wetu ukawapa maisha bora wageni, kwa sababu akili zetu zilinasa kwenye mtego wa kubabaikia kingereza.

Watanzania tuachane na huu ushamba wa kuiona lugha ya kingereza kama vile ndio kila kitu maishani.

ACHANA NA WAJINGA WENGI WA KITANZANIA AMABAO WAMESOMA ILA HAWAJAELIMIKA. KUHUSUDU MAMBO YA KIINGEREZA YANASABABISHA WAGENI WANATUMIA MWANYA HUU KUTUNYIMA AJIRA.OVERALL MAGUFURI ANAJUA KIINGEREZA VIZURI TU.NDO MAAANA ALIKUWA MWALIMU WA SEKONDARI LAKINI PIA KAFANYA PhD yake UDSM kwa kiingereza. Lakini zaidi Msc yake ameifanyia UK na akafaulu sana.
 
Stellenbosch University katika vyuo bora Africa nadhani mnakiweka cha kwanza professor's weengi wanajua Afrikaans na wanafundishia lugha hiyo tuu kiingereza kwa mbali sana na vitu wanavijua ..mwanzoni kilikua kwa ajili ya kaburu tuu sio mtu mweusi na ukitaka kusoma baadhi ya course unaambiwa soma kwanza Afrikaans ili usisumbuke katika lugha..ndio maana juzi South Africa wameandamana vyuo vyao vyote vifundishe kwa Lugha ya Kiingereza tuu..
 
Usiwe mvivu wa kufikii wewe,
Hivi hao waliokuwa wanajua kiingereza wametufikisha wapi?

Au wewe tafsiri yako ya Usomi ni lazima ujue kiingereza?

Akili yako bado iko medieval sana.
Ujumbe wa mada unazungumzia kuelimika, ndio maana nimetumia mifano ya wasomi wetu wanaopata elimu katika nchi ambazo hazina kabisa mpango wa kujifunza kingereza.
 
Umesema kweli, watanzania walio wengi hawakijui hata kiswahili seuze kiingereza. Na huyu mheshimiwa mkuu wa kaya yetu ni miongoni mwao wale wenzangu na mimi ambao ukiwaambia wazungumze hicho kibritish wanaishia "zeee....., zeee....., zeee"
 
Lugha ni njia ya mawasiliano, ni chombo kinachotumika katika kuwasilisha ile hali ya kuelimika kwa jamii fulani. Wasomi wengi wa Tanzania wamepata elimu katika mataifa kama China, Russia, France, Germany na zile nchi za Scandinavia. Wengi wa wasomi hawa, mwaka wao wa kwanza ulitumika katika kujifunza lugha ya wenyeji, halafu miaka inayofuata ndipo huanza kusomea fani mbalimbali za kitaaluma.

Wale maprofesa ambao wanafunzi wa kitanzania wanalazimika kujifunza mwaka wa lugha ili waweze kufundishwa nao yale masomo ya fani, mara nyingi hawajui kabisa lugha ya kingereza.

Lakini kwa sababu kujua kingereza sio kuelimika, maprofesa hao wala hawaoni aibu kutokuijua lugha ya kingereza. Wameshaelimika kiasi cha kuigawa elimu yao kwa wanafunzi wa kigeni kutoka Tanzania, bila ya wao kulazimika kuwa watumwa wa lugha ya kingereza.

Kuna wale ambao wanamkejeli rais Magufuli, wakisema kwamba hapandi ndege kwenda Ulaya kwa sababu ya tatizo la lugha ya kingereza, wanasema kuwa anashindwa kuongea na wageni wa kimataifa kwa sababu hajui vizuri kingereza. Huyu anayekejeliwa ni msomi wa ngazi ya PHD, ambaye baadhi ya watu wanamkejeli kwa sababu ya kasumba ya kupenda vituu vya kigeni.

Maprofesa wa mataifa yasiyozungumza lugha ya kingereza, waliowafundisha wasomi wetu ambao ndio "vichwa" vya taifa hili, ni watu walioelimika bila hata ya kulazimika kuwa watumwa wa lugha ya kigeni kwao yaani kingereza.

Sisi tuliotawaliwa tunaona fahari kukifahamu kingereza!. Wakati hatuna maendeleo yoyote ambayo yanahusiana na kingereza, ambayo tunaweza kujivunia kwamba yametokana na sisi.

Tunamkejeli rais wetu tukisema kwamba hayuko vizuri kwenye kingereza, wakati hicho kiswahili chenyewe hatukijui!!. Hicho kiswahili ambacho ni lugha ya taifa kinaishia kutamkwa midomoni peke yake, hakuna maendeleo yoyote yale ya kiteknolojia ambayo yanahusishwa na lugha ya kiswahili kwa asilimia mia moja.

Miaka ya nyuma huko migodini wazungu ambao huko Uingereza na Australia walikuwa ni wafungwa, walipewa kazi na kulipwa mishahara mikubwa kwa sababu tu ya kuongea kwao lugha ya kingereza!.

Hawakuwa na utaalamu kuwazidi wataalamu wazalendo waliosomea VETA na vyuo vingine vya ufundi hapa hapa Tanzania. Ulimbukeni wetu ukawapa maisha bora wageni, kwa sababu akili zetu zilinasa kwenye mtego wa kubabaikia kingereza.

Watanzania tuachane na huu ushamba wa kuiona lugha ya kingereza kama vile ndio kila kitu maishani.
Tulimuona hapa rais wa china akiwa na mkaliman hata kingereza hajuu
 
Lugha ya kingereza ni muhimu kwa dunia ya sasa hasa kwa kanchi kanakotegemea misaada kama Tanzania.. acheni kutetea upuuzi.. huyu mheshimiwa aende kwa Rasi simba akajifue lasivyo ataendelea kujificha humu Tanganyika mikutano ya kimataifa ataendelea kuikimbia na kujifanya mzalendo kuliko Nyerere..
 
Hivi kingereza ndiyo kinamfanya mtu apande mbegu ya uzalendo moyoni mwake ama? Wanaohoji mambo ya kingereza cha rais yawezekana ni vipofu hawaoni ingawa kama vile wanamacho hivi
 
Lugha ya kingereza ni muhimu kwa dunia ya sasa hasa kwa kanchi kanakotegemea misaada kama Tanzania.. acheni kutetea upuuzi.. huyu mheshimiwa aende kwa Rasi simba akajifue lasivyo ataendelea kujificha humu Tanganyika mikutano ya kimataifa ataendelea kuikimbia na kujifanya mzalendo kuliko Nyerere..
Acha kumdhihak rais ww ucwe mjinga wa kufikir hizo digree alizo kua nazo ni za kiswahili au mbona mnaturudisha enzi za ujima nyie mabwege
 
Back
Top Bottom