Uso kwa Uso na mwana MMU!!

Hyo ni safi sana,jukwaa litumiwe vizuri kwa maslah ya kila mtu!,tupendane,tuheshimiane na kujaliana kama ndugu wa baba mmoja!
 

Hayo yote umeyajuaje wakat hujawah hata kuonana nao?
 
Shangaa... Wengine tukiamua kuweka avatar na ID zinazofanana na sura zetu, thread zetu zisingepata wachangiaje aisee!!!

Afu wewe hebu nipe namba ya Ben 10 nimpe hi niko hapa SAUT!!!!

Yaani sipati picha ukiweka reality yako humu.. Utakuwa maarufu mara laki nane
 
unadandia daladala kwa mbele lol.....:smile-big:
Pamoja na kudandia gari kwa mbele,lakini mbona waliowahi kueleza wamekutana na mwana MMU ni wengi,kwa nini una-figure mtu mmoja kati ya wengi?
 
Hayo yote umeyajuaje wakat hujawah hata kuonana nao?

We jamaa, hebu acha kufikiria maneno na ufikirie maana!!! Labda nikufafanulie maana naona mawazo yako yapo mnururisho tu na hayataki kuwaza kwa mapana!! Niliposema 'JF kuna wanawake wazuri' hiyo ni sifa, nikiwa na maana kwamba tunalumbana, tunajadiliana humu na watu tusiofahamiana. Hivyo anaweza kuwa mbaya au mzuri ingawa hatufahamu, lakini mimi nimekutana na binti ambaye kwa mtizamo wangu ni mzuri na yuko tofauti na yale anayoyajadili mara kwa mara humu!!

Niliposema hivyo ni kiwakilishi kwa wengine kwamba, pamoja na yote yanayoendelea humu kunao wazuri pia!! Mfano mzuri ni kama vile Obama aliposema Watanzania ni wakarimu sana, kwani kahudumiwa na Watanzania wangapi mpaka afikie kujumuisha Watanzania wote kuwa ni wakarimu???

Naamini nimekutoa kwenye boksi sasa??

cc: charminglady
 
Ohoooo!!!! Ndo mana sikutaja mtu kama unahisi ulilolifanya ni sahihi its ok but ni vema ukaangalia contents nyingine za uzi mzima na ndo maana UFIKIRI halisi na si kutafuta majina ya watu!!

Ndio contents zako zinaconcur na hisihisi zangu. Kwa hiyo ni nani? Smile, Kongosho, Nazjaz najua hawawezi kukubali mkutane, Karucee analea hana huo muda kwa sasa, Evelyn Salt amepiga ban watu wasimpm, kwa hiyo wataka kuniaminisha ni mmojawapo wa hawa: MadameX, Madame B, madame A, King'asti?
 
Last edited by a moderator:
Yaani sipati picha ukiweka reality yako humu.. Utakuwa maarufu mara laki nane

uzuri wa mtu upo machoni mwa mtazamaji waweza kumuona mbaya mwenzio kaona mzuri,inaweza kuwa hana mvuto wa sura lakini haiba au personality yake ikamfanya hata mhusika asizingatie mvuto wa sura, nadhani mleta mada katumia neno uzuri kwa mawanda mapana zaidi.
 
Nataka kufungua Jf club. Nasubiri mods waniruhusu. Wana jf mtaruka rumba na kukutana humo.
 
Last edited by a moderator:

ulikuaje kama ni member wa jf?
 

Dah! Unasikitisha. Hujanambia kuwa umejuaje kuwa wanawake humu ni wazuri waka wewe umekutana na mmoja tu?
 
umeibiwa wewe,huyo ni kic..........,anazuga tuu kwako tushapita hapo long tima.Nakushauri ukapime mapema
 
umeibiwa wewe,huyo ni kic..........,anazuga tuu kwako tushapita hapo long tima.Nakushauri ukapime mapema

....duhhh? ...huyo ninayemjua hayuko hivyo kabisaa.
Acha nibaki msomaji tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…