Uso kwa Uso na mwana MMU!!


mkuu wanawake ama wadada wengi walio jf wanajitambua!

kuna mmoja nilikutana nae kwenye gari akiwa anatokea mnazi mmoja hivi anaelekea mitaa fulani ya mabibo hostel (tulipanda gari moja japo hakujua na mie ni mwana j,), for sure alikuwa ni mtu mwelewa sana pale alipomuokoa mzee fulani hivi asiibiwe pesa yake kama shs laki moja hivi!

mzee huyo alikuwa ameziweka zile pesa kwenye mfuko wa nyuma, basi zile pesa zooote zilikuwa zinaonekana!!! kiasi kwamba zilikuwa ni za ku-chop tu kwa vidole viwili!

she really impressed me though i didnt want to introduce myself so much to her!
 
Huyu itakuwa ni yule yule aloonana nae julius mahinya!halafu nani alowaambia kama wanawake wa JF si wazuri au ni mcharuko?

tatizo wengi wanahukumu kwa kusoma komenti za wanawake hum..wengine hata hawafanani na maneno yao...wala hawayafanyi wanayoshauri hapa...usiulize nimejuaje!
 
Last edited by a moderator:
hairuhusiwi kabisa humu!!

wengine mnachafuliana hewa, mnakuja kudanganyana humu!

 
tatizo wengi wanahukumu kwa kusoma komenti za wanawake hum..wengine hata hawafanani na maneno yao...wala hawayafanyi wanayoshauri hapa...usiulize nimejuaje!

Ninong'oneze mimi tuuu...
 
nataka majibu
1.ni mpole,umeshahitimisha tayari kuwa ni mpole mara hii?
2.si mwongeaji,una uhakika na hitimisho lako ndani ya muda mfupi uliyekaa nae?
3.umeshamuelewa kiundani mambo yake mpaka uone mtu mzuri?Ama hiyo sura unayoisema imekuchanganya mpaka umesahau kuwa unapaswa kujifunza zaidi na zaidi?
4.kama umeamua kuanika story hapa,unaonaje ukimwaga kila kitu hapa?Utakuwa umemuacha kweli wewe?Na je anaweza kwenda kwa wangapi kama kaja kwako?
 
lara 1, this thread must be about you!
 
Last edited by a moderator:


Afadhali wewe umenielewa ndugu, nilipomaanisha wanawake, nimelenga rika lote la jinsia ya kike lilimo humu JF!! Awe mtu mzima, msichana au bibi kabisa, au kwa neno moja hapo tunaweza kuwaitaje kwa kiswahili fasaha pengine mi nimekosea!!

Niliposema wazuri ni pamoja na kujitambua, muonekano nadhifu, nidhamu na yote yahusuyo uzuri!! Ili kudhihirisha kwamba maisha watu wanayaweka humu wengi si maisha yao halisia
 
Umewah kuwaona wote au unadanganywa na Avatars?

Yale yale, unajifanya hamnazo kumbe in actual life ni mtu na heshima zake!! Niliposema wazuri ni pamoja na kujitambua, muonekano nadhifu, nidhamu na yote yahusuyo uzuri!!

Na hili la kujumuisha kuwa wote humu JF ni wazuri ni wewe tu na mtizamo wako na wala sikukatazi kuwaza hivyo lakini ukichanganua vizuri hiyo sentensi na maana nzima ya uzi huu utanielewa kivingine!!
 
Hongera zako, mi sijui nikaoge maji ya mto hindi, lol!
Manake navotamani kuwaona hao watoto wa jf afu sipati hata chansi...
Ulete mrejesho jinsi mahusiano, mapenzi na urafiki wenu utakavozaa matunda....
 
lara 1, this thread must be about you!


Ohoooo!!!! Ndo mana sikutaja mtu kama unahisi ulilolifanya ni sahihi its ok but ni vema ukaangalia contents nyingine za uzi mzima na ndo maana UFIKIRI halisi na si kutafuta majina ya watu!!
 
baada ya hapo mkaenda wapi? au ndo mlikuwa mnawahi usafiri wa mbezi shule? maana ni mgumu sana wakati wa jioni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…