Uso kwa Uso na mwana MMU!!

Ligogoma

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2010
Posts
3,502
Reaction score
6,460
Habari wana JF??

Nilikuwa nasikia story tu kuwa watu huanzia kwenye mitandao (jinsia tofauti) na hatimae kukutana uso kwa uso, kwa mara ya kwanza jana nimefanikiwa kukutana na member wa JF MMU tena ni gwiji (maarufu) humu.

Tulianza kwa kujibizana mara hivi mara vile kwa inbox then namba za simu hatimae naandika hapa huku yeye akiwa pembeni hapa anacheekaaa na kuomba nisimtaje jina lake la kwenye ulingo wetu wa MMU!!! Akiandika humu unaweza kudhani ni wa kimjini mjini sana lakini kumbe wapi, mtoto ni mzuri huyooo, halafu ni mpole na mtulivu sana kuongea kwenyewe ni mpaka umchokoze!!!

Kikubwa ninachotaka kusema hapa ni kwamba JF ikitumiwa vizuri inaleta marafiki, inakutanisha ndugu, unafanya biashara na hata yale mahusiano yanayozungumzwa sana kwenye ukumbi wa MMU!!

Bila Kusahau: Nimegundua pia kuwa watu humu JF wanapretend tabia na maisha, wanavaa uhusika si wakwao kabisa!! Mfano, kuna watu wanashawishi anasa na kujifanya wao maisha yao ni anasa tupu!!! Iga ufeee, watu wana maisha yao bana

Eeh!! Mwisho kabisa ni kwamba JF kuna wasichana wazuri asikwambie mtu!!

Nawasilisha
 
Picha mkuu, ukishindwa hata avatar itatosha
 
hongera man nitumie hata jina lake kwenye inbox usije kuta ndo ninaemnyemelea
 

Umewah kuwaona wote au unadanganywa na Avatars?
 
Hivi amuachi haya mambo?
 

umepata raha enheeulipo muona nini..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…