Uso kwa uso na mkuu wa Pori

Uso kwa uso na mkuu wa Pori

MSEZA MKULU

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2011
Posts
3,882
Reaction score
5,901
attachment.php

hapa kama sio jasiri lazima upoteze fahamu.
 

Attachments

  • 2913644A00000578-0-image-a-12_1432694184317.jpg
    2913644A00000578-0-image-a-12_1432694184317.jpg
    65.5 KB · Views: 1,735
Hapo unapiga mbizi kumfata harafu unashika korodani zake unazivuta kwa nguvu kubwa...hahaha atatoka mbio huyo kama risasi..
 
Hautazifikia kabla ya kuvurugwa!... Hapo ni kuanzisha nae urafiki wa muda.... Yeye haamini kama unampiga picha au una shida ya meno yake!...
 
Uzuri ww huyu jamaa anakuua halafu anakuzika, ndg zako hawatahangaika na gharama za mazishi!
 
Apo ni kuzama chini na kututlia mwenyewe atahangaika kukutafuta.
 
Daaaa hapo ni kula kiapo cha kuelekea kwa sir God
 
Back
Top Bottom