Uso kwa uso na chui mlangoni kwake

Uso kwa uso na chui mlangoni kwake

attachment.php


Kwa hiyo huyu aliyempiga picha yeye hakuwa na fikra ya kumsaidia jamaa?
Yeye alichojua kutujuza mpango mwengine laimuachia mwenyewe
 
Ebanaeee huyo jamaa mziki, lakini pia asiache kumshukuru Mungu kwani ndiye aliyemsaidia asiliwe na huyo chui.
 
Kwenye hatari Mungu huwa anakupa ujasiri wa ajabu azawaizi hata kama uwe jasiri bila Mungu kukusimamia utaacha kula haraka sana.
 
Back
Top Bottom