Uso kwa uso na chui mlangoni kwake

Uso kwa uso na chui mlangoni kwake

Dunda kwetu

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2011
Posts
265
Reaction score
37
attachment.php



attachment.php


apambana na chui nchini India.2.jpgapambana na chui nchini India.jpg
Apambana nae mpaka dakika ya mwisho na kuweza kuinusuru roho yake,jirani wamsadia na kumpeleka hospital (chanzo Aftobolaget)
 
Inahihitaji ujasiri kumkabili mnyama chui, ukitia uoaga kidogo tu kakumaliza(ila anakabilika).....pia asiwe amekuvizia
Ila kwa mtu jasiri unakitaji nondo tu urefu wa mkono...au panga..hii ni kwa majasiri tu jamani mtu mwingine usithubutu!
 
Lol!! Huyu jamaa noma,alimuua au?
Tiger alishambuliwa na raia waliokwenda kumsadia jamaa
 
Zake zakufa ziko mbali lakini Huyo chui angekua wa Tz asingembakisha hata mifupa,chui wa India anakula dengu kiyasi apigane nae......


​Yah siku zake kweli zilikuwa bado hawa wanayama uwa hawana utani hata wakiwa wanakula dengu hahahaha
 
Jamaa jasiri kweli, siku zake zilikuwa hazijafika!​


​Kwenye matukio kama haya tunatakiwa tusikubari matokeo haraka
 
Inahihitaji ujasiri kumkabili mnyama chui, ukitia uoaga kidogo tu kakumaliza(ila anakabilika).....pia asiwe amekuvizia
Ila kwa mtu jasiri unakitaji nondo tu urefu wa mkono...au panga..hii ni kwa majasiri tu jamani mtu mwingine usithubutu!

.Jasiri katili...jamaa yeye alimshushia chui makonde kama ana akili timamu
 
Huyo ni chui wa kichina!
Hapana si wa kichina ni wa kidosi
 
jamaa ***** kweli yaan chui tu kamtoa jasho kiasi hiko..je akikutana na simba kama mimi nilivyokutana nae
 
attachment.php


Kwa hiyo huyu aliyempiga picha yeye hakuwa na fikra ya kumsaidia jamaa?
 
  • Thanks
Reactions: RR
Angekuwa mbongo, wangekuta jamaa ameshakufa na suruali imesheheni haja kubwa ile mbaya!
 
Hahaha kuna kila dalili ulipokutana na simba ulimsalimia Kifarari nduki kali
 
Sure mchakani, huyu kama sio wa kichina basi jamaa ndo mchina anapiga judo vizuri

Mbele ya kifo alafu kesho ndio siku ya kufunga ndoa na mchumba wake wa siku nyingi judo lazima lije lenyewe
 
Alikua anataka akauze, pesa mbele uncle na ndo mana bongo zikitokea ajali badala watu kuokoa majeruhi, wanapiga sachi mifukoni
Mbele ya fedha tena kwa wahindi wewe huo mzigo ni wako
mpiga picha analala mbele
 
Back
Top Bottom