Usizoyeane Sana na mpenzi

Usizoyeane Sana na mpenzi

Hahah we ndio maana umeonekana msenge bob, mwanamke hanuniwi!

Atakuvumilia ila after a while atakuona msenge na atazidisha visa maana unaonekana upo very weak mbele yake badala ya kuwa strong as an alpha male!

Kamwe usikwepe ugomvi anaoanzisha mpenzi wako just handle it with care! Let her whine bro!
 
Sasa hapo unajitesa ili iweje? Kama ndio hivyo Basi huna haja ya kuwa na mpenzi ukipata hamu kavute changudoa utoe hamu zako. Mapenzi hayawezi kuwa matamu kwa mtindo huo..na hayataitwa mapenzi Kama yapo hivyo. Taabu yote ya nini? Umelazimishwa?
 
Back
Top Bottom