Yericko Nyerere
JF-Expert Member
- Dec 22, 2010
- 16,987
- 20,271
Porojo, asemae uongo kushitakiwa ndio dawa yake. Na wewe ujiitae @Yericko. Nyerere ngoja singasinga apate habari kuwa unaandika uongo humu kuhusu yeye halafu utamjuwa yeye ni nani, utakutana na mawakili wake mahakamani, jitayarishe kuyaoga maana umeshayavulia nguo.

ati weye ni mke wa ngapi wa singasinga? maana inaonekana unajua ukweli. hivi kwanza huyu singasinga ni nani?Porojo, asemae uongo kushitakiwa ndio dawa yake. Na wewe ujiitae @Yericko. Nyerere ngoja singasinga apate habari kuwa unaandika uongo humu kuhusu yeye halafu utamjuwa yeye ni nani, utakutana na mawakili wake mahakamani, jitayarishe kuyaoga maana umeshayavulia nguo.
Kuonyesha wamedhamiria kuzima medea zilizogoma kuhongwa, IPTL wanadai Mwananchi Communication Limited iwalipe trilioni8 kwa madai ya kuwachafua kwakuandika habari za wizi wao wa 200b za Tanesco zilizokuwa BOT,
Mkakati wa singasinga sasahivi ni kuhakikisha anashitaki magazeti yote yanayoandika escrow scandal ili wakiwa mahakamani aombe zuio la mahakama, chombo husika kisiandike habari yoyote mpaka kesi ikiisha na watahakikisha kesi zinachukua miaka mingi. Wanaogopa public sensitization.
Wanaogopa umma ukijua kuwa IPTL iliwekeza mtaji wa dola50 sawa na elfu 50 kwa exchange rate ya 1998 ni wazi umma unaweza kuasi.
Pesa iliyonunua mitambo ya IPTL na kuendesha(kuzalisha umeme) imetoka standard chartered bank, pesa halisi ya IPTL waliyoweka ilikuwa dola50 tu sawa na elfu hamsini ya kitanzani,
Sasa bank iliyoweka mtaji kwa kuhakikishiwa na serikali yetu (kudhsminiwa), hawakuilipa na wamekomba mabilioni yote tangu mwanzo mpaka escrow.
Hatari yake ni kuwa mkopo wa bank ile ulikuwa guaranteed na serikali yetu, hivyo tutajikuta tunalipa tena bank hiyo.
Maajabu ni kuwa IPTL waliweka dola50 sawa na tsh50000 tu kwa exchange rate ya 1:1000. Hiyo iligunduliwa mwaka 2004 ikiwa ni miaka 2 tangu IPTL ianze kuiuzia umeme tanesco.
safisha mazingira usipate dengueACHA KUANDIKA MAMBO KIHUNI, Kama umeshajua huo mkakati wewe kama mwananchi umekuja na mkakati gani? Unapoelezea tatizo elezea na suluhisho. NINI KIFANYIKE?
ACHA KUANDIKA MAMBO KIHUNI, Kama umeshajua huo mkakati wewe kama mwananchi umekuja na mkakati gani? Unapoelezea tatizo elezea na suluhisho. NINI KIFANYIKE?
Porojo, asemae uongo kushitakiwa ndio dawa yake. Na wewe ujiitae @Yericko. Nyerere ngoja singasinga apate habari kuwa unaandika uongo humu kuhusu yeye halafu utamjuwa yeye ni nani, utakutana na mawakili wake mahakamani, jitayarishe kuyaoga maana umeshayavulia nguo.
Sasa mbona Bunge limetoa agizo la kufanyia uhakiki suala hilo?Kwanini Singasinga naye asiitwe na Bunge kupewa ONYO kali?Au kwa kuwa siyo MBONGO?
Huo Mchezo Werema anaufahamu vizuri!
Mpango huu wa kwenda Mahakamani unamalengo mapana!Hii ikiwa pamoja na kuzuia Bunge kufanya Kazi yake utaniambia muda si mrefu kama huu si mpango umesukwa!
Kesi hii itapigwa pigwa dana dana mpaka VASCO DAGAMA anamaliza muda wake Magogoni hapo upo!
Jambo la Msingi ni kuwa Raisi ajaye wa Tanganyika Huru ahadi yake ya kwanza iwe ni kuwaswaka ndani Mafisadi wote.
1. Ben
2. Jk
3.................
4...........
Bila hivyo michezo hii haina mwisho.
Mkuu FaizaFoxy, wazalendo watadai haki mpaka kieleweke kabisa. Naona Singasinga anakupa chochote au ni kwa vile Chama Chenu mnaziua fika hizi hela na matumizi yake hivyo nyie mlioajiriwa ni lazima mtimize wajibu wenu hata kama moyoni si hicho ulichomaanisha!!! Aise siasa zinawamaliza. Bora mimi napiga kotekote niko huru tu kwa sababu sitaki kufungwa kamwe na propaganda. Wewe billion 200 kwei hazikuumi ndugu yangu?
Porojo, asemae uongo kushitakiwa ndio dawa yake. Na wewe ujiitae @Yericko. Nyerere ngoja singasinga apate habari kuwa unaandika uongo humu kuhusu yeye halafu utamjuwa yeye ni nani, utakutana na mawakili wake mahakamani, jitayarishe kuyaoga maana umeshayavulia nguo.
ACHA KUANDIKA MAMBO KIHUNI, Kama umeshajua huo mkakati wewe kama mwananchi umekuja na mkakati gani? Unapoelezea tatizo elezea na suluhisho. NINI KIFANYIKE?
Apewew onyo kali halafu aachiwe? Hapa ni atakiwe kulipa pesa zetu zote. Full stopSasa mbona Bunge limetoa agizo la kufanyia uhakiki suala hilo?Kwanini Singasinga naye asiitwe na Bunge kupewa ONYO kali?Au kwa kuwa siyo MBONGO?
Foxy huwa wewe kila shutuma inayotolewa humu jf unawatetea washutumiwa, vipi tukueleweje? Lisemwalo lipo na kama halipo lipo majiani laja! Si uache wenyewe wajitetee? Anyway, waswahili wanasema kwenye msafara wa mamba na kenge wapo.