Usiyoyajua zaidi kuhusu Singasinga (IPTL/PAP) na mkakati wake mpya

Yericko Nyerere

Verified Member
Dec 22, 2010
16,783
2,000
Kuonyesha wamedhamiria kuzima medea zilizogoma kuhongwa, IPTL wanadai Mwananchi Communication Limited iwalipe trilioni8 kwa madai ya kuwachafua kwakuandika habari za wizi wao wa 200b za Tanesco zilizokuwa BOT,

Mkakati wa singasinga sasahivi ni kuhakikisha anashitaki magazeti yote yanayoandika escrow scandal ili wakiwa mahakamani aombe zuio la mahakama, chombo husika kisiandike habari yoyote mpaka kesi ikiisha na watahakikisha kesi zinachukua miaka mingi. Wanaogopa public sensitization.

Wanaogopa umma ukijua kuwa IPTL iliwekeza mtaji wa dola50 sawa na elfu 50 kwa exchange rate ya 1998 ni wazi umma unaweza kuasi.

Pesa iliyonunua mitambo ya IPTL na kuendesha(kuzalisha umeme) imetoka standard chartered bank, pesa halisi ya IPTL waliyoweka ilikuwa dola50 tu sawa na elfu hamsini ya kitanzani,
Sasa bank iliyoweka mtaji kwa kuhakikishiwa na serikali yetu (kudhsminiwa), hawakuilipa na wamekomba mabilioni yote tangu mwanzo mpaka escrow.

Hatari yake ni kuwa mkopo wa bank ile ulikuwa guaranteed na serikali yetu, hivyo tutajikuta tunalipa tena bank hiyo.

Maajabu ni kuwa IPTL waliweka dola50 sawa na tsh50000 tu kwa exchange rate ya 1:1000. Hiyo iligunduliwa mwaka 2004 ikiwa ni miaka 2 tangu IPTL ianze kuiuzia umeme tanesco.
 
Tetty

JF-Expert Member
Jan 6, 2012
26,386
2,000
Sasa mbona Bunge limetoa agizo la kufanyia uhakiki suala hilo?Kwanini Singasinga naye asiitwe na Bunge kupewa ONYO kali?Au kwa kuwa siyo MBONGO?
 
MoudyBoka

JF-Expert Member
Dec 31, 2011
909
1,000
IPTL iliridhiwa/kuletwa na Raisi Kikwete enzi hizo akiwa wizara ya Nishati so picha inaweza kupatikana sasa wanapata wapi jeuri au atakana kama alivyosema haijui Dowans wala wamiliki wake,kweli Tanzania shamba la Bibi!!!
 
FaizaFoxy

JF-Expert Member
Apr 13, 2011
71,292
2,000
Porojo, asemae uongo kushitakiwa ndio dawa yake. Na wewe ujiitae @Yericko. Nyerere ngoja singasinga apate habari kuwa unaandika uongo humu kuhusu yeye halafu utamjuwa yeye ni nani, utakutana na mawakili wake mahakamani, jitayarishe kuyaoga maana umeshayavulia nguo.
 
Yericko Nyerere

Verified Member
Dec 22, 2010
16,783
2,000
Porojo, asemae uongo kushitakiwa ndio dawa yake. Na wewe ujiitae @Yericko. Nyerere ngoja singasinga apate habari kuwa unaandika uongo humu kuhusu yeye halafu utamjuwa yeye ni nani, utakutana na mawakili wake mahakamani, jitayarishe kuyaoga maana umeshayavulia nguo.

We tahira wa kimwili na kiroho, tulizana huko huko lumumba, pesa ya umma lazima irudi
 
idoyo

JF-Expert Member
Jan 13, 2013
3,020
2,000
Porojo, asemae uongo kushitakiwa ndio dawa yake. Na wewe ujiitae @Yericko. Nyerere ngoja singasinga apate habari kuwa unaandika uongo humu kuhusu yeye halafu utamjuwa yeye ni nani, utakutana na mawakili wake mahakamani, jitayarishe kuyaoga maana umeshayavulia nguo.
ati weye ni mke wa ngapi wa singasinga? maana inaonekana unajua ukweli. hivi kwanza huyu singasinga ni nani?
 
Old Member (Retired)

JF-Expert Member
Sep 29, 2012
3,409
0
Kuonyesha wamedhamiria kuzima medea zilizogoma kuhongwa, IPTL wanadai Mwananchi Communication Limited iwalipe trilioni8 kwa madai ya kuwachafua kwakuandika habari za wizi wao wa 200b za Tanesco zilizokuwa BOT,

Mkakati wa singasinga sasahivi ni kuhakikisha anashitaki magazeti yote yanayoandika escrow scandal ili wakiwa mahakamani aombe zuio la mahakama, chombo husika kisiandike habari yoyote mpaka kesi ikiisha na watahakikisha kesi zinachukua miaka mingi. Wanaogopa public sensitization.

Wanaogopa umma ukijua kuwa IPTL iliwekeza mtaji wa dola50 sawa na elfu 50 kwa exchange rate ya 1998 ni wazi umma unaweza kuasi.

Pesa iliyonunua mitambo ya IPTL na kuendesha(kuzalisha umeme) imetoka standard chartered bank, pesa halisi ya IPTL waliyoweka ilikuwa dola50 tu sawa na elfu hamsini ya kitanzani,
Sasa bank iliyoweka mtaji kwa kuhakikishiwa na serikali yetu (kudhsminiwa), hawakuilipa na wamekomba mabilioni yote tangu mwanzo mpaka escrow.

Hatari yake ni kuwa mkopo wa bank ile ulikuwa guaranteed na serikali yetu, hivyo tutajikuta tunalipa tena bank hiyo.

Maajabu ni kuwa IPTL waliweka dola50 sawa na tsh50000 tu kwa exchange rate ya 1:1000. Hiyo iligunduliwa mwaka 2004 ikiwa ni miaka 2 tangu IPTL ianze kuiuzia umeme tanesco.

ACHA KUANDIKA MAMBO KIHUNI, Kama umeshajua huo mkakati wewe kama mwananchi umekuja na mkakati gani? Unapoelezea tatizo elezea na suluhisho. NINI KIFANYIKE?
 
Zogwale

JF-Expert Member
Jul 10, 2008
13,159
2,000
Porojo, asemae uongo kushitakiwa ndio dawa yake. Na wewe ujiitae @Yericko. Nyerere ngoja singasinga apate habari kuwa unaandika uongo humu kuhusu yeye halafu utamjuwa yeye ni nani, utakutana na mawakili wake mahakamani, jitayarishe kuyaoga maana umeshayavulia nguo.

Mkuu FaizaFoxy, wazalendo watadai haki mpaka kieleweke kabisa. Naona Singasinga anakupa chochote au ni kwa vile Chama Chenu mnaziua fika hizi hela na matumizi yake hivyo nyie mlioajiriwa ni lazima mtimize wajibu wenu hata kama moyoni si hicho ulichomaanisha!!! Aise siasa zinawamaliza. Bora mimi napiga kotekote niko huru tu kwa sababu sitaki kufungwa kamwe na propaganda. Wewe billion 200 kwei hazikuumi ndugu yangu?
 
Mp Kalix2

JF-Expert Member
Oct 4, 2010
5,946
2,000
Sasa mbona Bunge limetoa agizo la kufanyia uhakiki suala hilo?Kwanini Singasinga naye asiitwe na Bunge kupewa ONYO kali?Au kwa kuwa siyo MBONGO?

Huo Mchezo Werema anaufahamu vizuri!
Mpango huu wa kwenda Mahakamani unamalengo mapana!Hii ikiwa pamoja na kuzuia Bunge kufanya Kazi yake utaniambia muda si mrefu kama huu si mpango umesukwa!

Kesi hii itapigwa pigwa dana dana mpaka VASCO DAGAMA anamaliza muda wake Magogoni hapo upo!

Jambo la Msingi ni kuwa Raisi ajaye wa Tanganyika Huru ahadi yake ya kwanza iwe ni kuwaswaka ndani Mafisadi wote.
1. Ben
2. Jk
3.................
4...........

Bila hivyo michezo hii haina mwisho.
 
Kwa hiyo inamaana hata wale wanaolifanyia kazi hilo sakata CAG na TAKUKURU nao itabidi wasimamishwe?Maana kesi imepelekwa mahakamani.
 
FaizaFoxy

JF-Expert Member
Apr 13, 2011
71,292
2,000
Mkuu FaizaFoxy, wazalendo watadai haki mpaka kieleweke kabisa. Naona Singasinga anakupa chochote au ni kwa vile Chama Chenu mnaziua fika hizi hela na matumizi yake hivyo nyie mlioajiriwa ni lazima mtimize wajibu wenu hata kama moyoni si hicho ulichomaanisha!!! Aise siasa zinawamaliza. Bora mimi napiga kotekote niko huru tu kwa sababu sitaki kufungwa kamwe na propaganda. Wewe billion 200 kwei hazikuumi ndugu yangu?

Wewe dai lakini si kusema uongo, haukusaidii kitu.

Mwishowake unaishia kulipa madeni na kudaiwa.

Kwani hao IPTL aliyewapeleka mahakamani ni nani? au hujuwi?
 
Magurudumu

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
1,750
1,500
Porojo, asemae uongo kushitakiwa ndio dawa yake. Na wewe ujiitae @Yericko. Nyerere ngoja singasinga apate habari kuwa unaandika uongo humu kuhusu yeye halafu utamjuwa yeye ni nani, utakutana na mawakili wake mahakamani, jitayarishe kuyaoga maana umeshayavulia nguo.

Foxy huwa wewe kila shutuma inayotolewa humu jf unawatetea washutumiwa, vipi tukueleweje? Lisemwalo lipo na kama halipo lipo majiani laja! Si uache wenyewe wajitetee? Anyway, waswahili wanasema kwenye msafara wa mamba na kenge wapo.
 
mwanafyale

JF-Expert Member
Sep 27, 2010
1,641
1,250
Sasa mbona Bunge limetoa agizo la kufanyia uhakiki suala hilo?Kwanini Singasinga naye asiitwe na Bunge kupewa ONYO kali?Au kwa kuwa siyo MBONGO?
Apewew onyo kali halafu aachiwe? Hapa ni atakiwe kulipa pesa zetu zote. Full stop
 
MoudyBoka

JF-Expert Member
Dec 31, 2011
909
1,000
Foxy huwa wewe kila shutuma inayotolewa humu jf unawatetea washutumiwa, vipi tukueleweje? Lisemwalo lipo na kama halipo lipo majiani laja! Si uache wenyewe wajitetee? Anyway, waswahili wanasema kwenye msafara wa mamba na kenge wapo.

Mkuu job description ya ajira za mtandaoni kwenye Department ya internet propaganda pale Lumumba kinambana kutumia akili yake kwa uzalendo na weledi na ndio maana id kama Ifweero,FF,Msalani,Chama,Juliana,Mwanadiwani,Hammy-D huwezi kuta zinatetea maslahi ya umma na Taifa,hazina tofauti na roboti!!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom