Yericko Nyerere
JF-Expert Member
- Dec 22, 2010
- 16,977
- 20,244
Kuonyesha wamedhamiria kuzima medea zilizogoma kuhongwa, IPTL wanadai Mwananchi Communication Limited iwalipe trilioni8 kwa madai ya kuwachafua kwakuandika habari za wizi wao wa 200b za Tanesco zilizokuwa BOT,
Mkakati wa singasinga sasahivi ni kuhakikisha anashitaki magazeti yote yanayoandika escrow scandal ili wakiwa mahakamani aombe zuio la mahakama, chombo husika kisiandike habari yoyote mpaka kesi ikiisha na watahakikisha kesi zinachukua miaka mingi. Wanaogopa public sensitization.
Wanaogopa umma ukijua kuwa IPTL iliwekeza mtaji wa dola50 sawa na elfu 50 kwa exchange rate ya 1998 ni wazi umma unaweza kuasi.
Pesa iliyonunua mitambo ya IPTL na kuendesha(kuzalisha umeme) imetoka standard chartered bank, pesa halisi ya IPTL waliyoweka ilikuwa dola50 tu sawa na elfu hamsini ya kitanzani,
Sasa bank iliyoweka mtaji kwa kuhakikishiwa na serikali yetu (kudhsminiwa), hawakuilipa na wamekomba mabilioni yote tangu mwanzo mpaka escrow.
Hatari yake ni kuwa mkopo wa bank ile ulikuwa guaranteed na serikali yetu, hivyo tutajikuta tunalipa tena bank hiyo.
Maajabu ni kuwa IPTL waliweka dola50 sawa na tsh50000 tu kwa exchange rate ya 1:1000. Hiyo iligunduliwa mwaka 2004 ikiwa ni miaka 2 tangu IPTL ianze kuiuzia umeme tanesco.