Usiyoyajua kuhusu pweza

Usiyoyajua kuhusu pweza

DCTM_Penguin_UK_DK_AL502808_sqrep1.jpg





7.Pweza wote wana sumu inayoweza kumuua mwanadamu lakini mwenye sumu hatari zaidi ni blue ringed octopus anayeweza kuua zaidi ya mwanadamu mmoja kwa mda mfupi ikiwa atachokozwa.
 
Pweza mkubwa kabisa anakuwa na ukubwa gani?..


fQYSUbVfts-T7pS2VP2wnKyN8wxywmXtY0-FwsgxoJTQFQjv3xXPrzpVx4bsP7K68Ez-5GWcwCwIR0VUKdcL

The giant Pacific octopus grows bigger and lives longer than any other octopus species. The size record is held by a specimen that was 30 feet (9.1 meters) across and weighed more than 600 pounds (272 kilograms). Averages are more like 16 feet (5 meters) and 110 lbs (50 kilograms).

They live to be about four years old, with both males and females dying soon after breeding. Females live long enough to tend fastidiously to their eggs, but they do not eat during this months-long brooding period, and usually die soon afterwards.

Giant Pacific Octopuses, Giant Pacific Octopus Pictures, Giant Pacific Octopus Facts - National Geographic
 
wengi hapa bongo mechi tatizo lazima atupie kwanza kitu cha pweza hapo jamaa anasimama kama nundu ya faru haha
 
Hivi yule pweza mtabiri wa south africa alikuwa anaitwa nani vile?
 
Hakuna supu ya ukwee ya pweza kama ya kwa hamiee jei makumbusho inapikiwa na kuni za mkuyati
 
UncleBen,kuna changamoto kubwa inapatikana kuhusu maumivu si kwa mimi na wewe tu hata kwa wanasayansi wakubwa,

kuhusu swala la pweza kuhisi maumivu sawa na anayohisi mwanadamu pindi anapokatwa wewe umetafsiri vibaya.

Mimi nimezungumzia maumivu kwa hisia,wewe unazungumzia in term of magnitude au intensity kitu ambacho kigumu mno kuhusianisha kwa sababu hata kwa mwanadamu ukubwa wa maumivu hutofautiana.

Pia umegusia swala la maumivu ya moyo,ukweli ni kwamba moyo hauhisi maumivu,unapozungumzia maumivu utazungumzia ubongo na mfumo wa neva na baadhi ya homoni.
 
Pweza anazamisha mtu. Anatandaza mwili wake (Mikono) anakurudisha chini kwenye maji unakosa pumzi unakufa anasepa. Watu wa pwani wanatathimini vifo hivyo ni -chunusi. Au mfano wa jini majini anayeua watu kiajabu lakini ni mikono ya pweza yenye nguvu saajabu. Anapoona adui anamwaga wino wake kujificha anakimbia. Wino unamfanya adui asione. Wino wake unatumika pia kama gundi la kuzibua majahazi au boti za kienyeji. Kifuko cha wino kinatolewa, anachemswa, anakaangwa analiwa hasa vijana wanaotumia protein ya nyama yake kudumisha urijali. Issue ni protein ya hali ya juu ndio inatumika kama lishe kwenye Imani za maumbile.
 
Back
Top Bottom