Usiyoyajua kuhusu pweza

Usiyoyajua kuhusu pweza

UncleBen mpaka sasa wanasayansi wapo katika utafiti wa kupata kifaa kitakachopima exactly,the intensity of pain.

Kwa sababu maumivu ni subjective sensation anayetumbua ukubwa wake ni yule yanayomkuta,

Sisi tutayatambua kwa kuuliza unahisi nini na kwa kiasi gani(sana au kidogo),pia kwa kuangalia muonekano na kusoma hisia zako kwa ujumla.

Kuhusu kuhisi maumivu kwa binadamu ni hali unayohisi pale unapojikata na kisu au kujichoma kwa kitu chenye ncha kali nafkri ushapata picha na pweza pia atahisi kama wewe pindi atakapokatwa sehemu fulani ya mwili wake.

kuhusu nguruwe pia anahisi maumivu pindi anapochinjwa iwe kwa shoka au panga.
 
Asante kwa majibu yako mazuri ila naomba usichoke kwa maswali wengine sisi ni vichwa nazi ,umesema sisi binadamu tunatambua maumivu kwa kuuliza unahisi nini na kwa kiasi gani ,sana au kidogo ,sasa huyo aliyesema maumivu anayohisi pweza ni sawa na binadamu aliongea na huyo pweza au ?? Kwa sababu hakuna kifaa cha kupima maumivu ,
Hizi tafiti huwa sizielewi maana anaweza akatokea mtu akakuambia maumivu anayoskia sisimizi akikanyagwa ni sawa na tembo akipasuka msamba
 
Ndio hivyo mkuu ,nisaidie basi kujibu hayo maswali hapo juu
mkuu maswali yako yana point, maana huwezi linganisha ukubwa/magnitude ya vitu viwili wakati hakuna kipimo cha kupimia hivyo vitu
mfano huwezi sema kitu A kinslingana uzito na B wakati hakuna namna ya kuvipima uzito
 
9.Ukiwa unahitaji kufanya upasuaji wa kiungo kimojawapo cha pweza utatakiwa kumchoma sindano za kumfanya asihisi maumivu kwani pweza uhisi maumivu sawa na anayohisi mwanadamu akikatwa.

10.Pweza wa kiume hawezi kuishi zaidi ya miezi miwili baada ya kumuingilia pweza wa kike.
Hiyo namba 10 ingekuwa kwetu wanadamu sijui tungeishi vipi maulana weee!!!!!
 
UncleBen,kama nilivyokwambia kwa binadamu njia inayotumika ni kumuuliza anayehisi maumivu.

kwa viumbe wengine njia ya pili inayotumika ni kusoma muitikio wa mwili mzima au sehemu fulani ya mwili.

Kwa mfano unapomchoma pweza na sindano lazima ataanza kurusha mikono yake huku na huko katika kuhakikisha anaepukana na maumivu ya kuchomwa sawa na binadamu anapoondoa mkuu haraka sana pindi akanyagapo moto.
 
mkuu maswali yako yana point, maana huwezi linganisha ukubwa/magnitude ya vitu viwili wakati hakuna kipimo cha kupimia hivyo vitu
mfano huwezi sema kitu A kinslingana uzito na B wakati hakuna namna ya kuvipima uzito
Hapo ndio penye utata mkuu
 
UncleBen,kama nilivyokwambia kwa binadamu njia inayotumika ni kumuuliza anayehisi maumivu.

kwa viumbe wengine njia ya pili inayotumika ni kusoma muitikio wa mwili mzima au sehemu fulani ya mwili.

Kwa mfano unapomchoma pweza na sindano lazima ataanza kurusha mikono yake huku na huko katika kuhakikisha anaepukana na maumivu ya kuchomwa sawa na binadamu anapoondoa mkuu haraka sana pindi akanyagapo moto.
Hakuna kiumbe chenye uhai ambacho utakiumiza kikacheka
kwa maana hiyo ni kila kiumbe kina hisi maumivu haijalishi ni anarusha mikono au miguu ,kiumbe chochote au tuseme mnyama lazima asikie maumivu endapo kajeruhiwa ,shida yangu ipo hapo kulinganisha maumivu ya pweza na binadamu ,anyway asante

Na huyo pweza anapo linganishwa na maumivu ya binadamu ,ni maumivu yapi hasa ?? Maana kuna maumivu anayo pata mwanamke akijifungua ,kuna maumivu ya moyo haya ni hatari kuliko hata kukatwa na kisu ,
 
UncleBen mimi sijakompea physical quantities kwa sababu hatuna kipimo wala unit ambayo tunayapimia maumivu.

Maumivu ni subjective sensation anayejua ni yule aliyonayo.

Biologist katika hili wamefanya kuhusianisha matokeo(rensponse) ya kimatendo kwa binadamu na wanyama wengine na hata kutoa part za ubongo unaoratibu kuhusu maumivu na kuhitimisha kama nlivyokwambia ingawa baadhi wana challenge ndio maana wanaangaika na kifaa kitakachoweza kupima magnitude au intensity ya maumivu.
 
UncleBen,unasema kila kiumbe hai lazima kihisi maumivu,mimea pia ni viumbe hai je nayo pia inahisi maumivu?,

Naomba nkuliize tena swali kwani maumivu we unayatafsiri vipi? nini/vitu gani kinamfanya/vinamfanyamwanadamu ahisi maumivu.

unajua maumivu ya kina mama wakati wa kujifungua yanasabishwa na nini?.
 
Mkuu niliposema viumbe hai ni specifically wanyama niki maanisha wenye nervous system na brain ,mmea sidhani kama unaweza kuskia maumivu

Huwezi kui define pain kwa maneno yaliyojitosheleza kama ulivyosema mwanzo ni subjective phenomenon

Swala la kusema maumivu anayoskia pweza ni sawa na binadamu bado ni tatizo kwangu wewe mwenyewe umesema hakuna kifaa cha kupima maumivu ,ila vitendo kama sijui pweza kukunja mikono au miguu anavyo umiza ndio viwe sababu ya kuelezea maumivu yake ni sawa na mwanadamu

Nilipo kuletea mfano wa mwanamke akijifungua ,ndio nilitaka unisaidie ni maumivu yapi yanayo muhusu mwanadamu yamelinganishwa na ya pweza ni kwanini maumivu anayo pata pweza yalinganishwe mathalani na maumivu ya mwanadamu anapo kanyaga moto lakini yasilinganishwe na maumivu ya Moyo anayo pata mwanadamu mathalani anapofiwa
 
UncleBen hakuna maumivu ya moyo unapofiwa labda pawe na jeraha. Hata haya maumivu ya vidonda ni hisia tu. Na ndio maana kuna watu wana vidonda ndugu lakini haviumi kwa sababu wameshazoea. Kuna swali hapa. Kwanini mtu anapokanyaga mav.i akiwa peku anachechemea na wakati sio mwiba ule?
 
Sasa mkuu sensory na emotional experience zitakua nini kama sio maumivu ya moyo ?? Na hiyo haina maana kwamba sijui emotion,speech ,intelligence zote zipo kwenye Cerebrum na ndio maana alipo niuliza kama mmea unaskia maumivu nikamwambia hapana kwa sababu hauna brain wala nervous system

Swali lako kwanini ukikanyaga mavi unachechemea nadhani hiyo inatokana na Signal iliyotumwa kutoka kwenye Cerebrum kupitia midbrain ambayo ndio coordinator ya msg zote zinazoingia na kutoka kwenye brain kwenda kwenye spinal cord ,baada ya signal kutumwa upande mwingine wa ubongo ambao ni cerebellum unatuma ujumbe nini sasa mwili ufanye kwani ndio upo responsible na movement na coordination ,hivyo kujibu swali lako kwanini mtu anachechemea inategemea na signal iliyotumwa kama nilivyo eleza hapo juu ,
Hivyo kusikia maumivu na kuchechemea haziwezi zikawa ni aina moja ya signals kwa maana hiyo hata response ya mwili itakua tofauti ...swala langu la msingi bado lipo na mleta mada ni magnitude gani imetumika kulinganisha maumivu ya binadamu na pweza ,

Swali lako hilo ni sawa tu nakuuliza kwanini unapo mwona nyoka mwili unasisimka na kusisimka kwa mwili haina maana kwamba ndio maumivu
 
Back
Top Bottom