Comrade Ally Maftah
Member
- Nov 6, 2016
- 92
- 280
Unajua hii picha huwa siielewagi ina tatizo gani? Kwani kila kitu kazi duniani si kuna kitu kinaitwa parameters na instruments na lengo huwa data.. Sasa kama fani ya samaki inazikubali mbinu za kujua size ya samaki anayetakiwa na mbinu ya ruler inakubalika kwa standard zao.. Shida nini mpaka ionekane ni kitu cha ajabu kwetu sisi?? Me niko fani ya maji hivyo sekta ya samaki sijui lolote.. Naomba ufafanuzi please
🤣🤣🤣🤣🤣🙌Hata nikikushauri next time utumie herufi ndogo utakataa kupokea ushauri
Mheshimiwa samahani, elimu yako tu hujatwambia.USIYOYAJUA KUHUSU MIMI
1. NIKISHAANZA UTEKELEZAJI HUWA SITAKI USHAURI KATIKA SAFARI YA UTEKELEZAJI
2. SIMWOGOPI MTU YOYOTE KWA SABABU PIA NAJITAHIDI KUTOVUNJA SHERIA
3. NIKIAMINI JAMBO LINAWEZEKANA NITAMINI HIVYO MPAKA NIKILIFANYA LIKASHINDIKANA
4. SIMBEMBELEZI MTU KUNIPENDA, KUNUNUA BIDHAA KWANGU AU KUNIONA MTU WA MAANA, MIMI NITAFANYA JAMBO LILILO SAHIHI TU,WEWE UTACHAGUA USMUZI UNAOTAKIWA KUUFANYA
5. NIKIHITAJI USHAURI NITAKUFUATA KUKUOMBA USHAURI, HUWA SIPOKEI USHAURI ENDAPO WEWE NDIO UNAUHITAJI MKUBWA WA KUNISHAURI, NIKISHAANZA KUONA UNANILAZIMISHIA USHAURI WAKO NAANZA KUHISI KUNA BIASHARA UMEIONA UNATAKA KUIELEKEZEA KWAKO AU UNATAKA KUNIVURUGA ILI NIPOTEZE MALENGO
6. SINA CHUKI NA MTU ZA KUDUMU, HATA KAMA ULIWAHI KUNIKOSEA IKIWA UPO KWENYE ENEO LENYE FURSA KWANGU TUNAWEZA KUZUNGUMZA NA KUPANGA MIPANGO YA KAZI
7. IKIWA HATUNA BIASHARA YOYOTE NA WEWE USITEGEMEE KUONA SIMU YANGU, NA SINA CHUKI YOYOTE NA WEWE ILA NATAKA UKAE MBALI KIDOGO USINIKARIBIE SANA, NIPENDE KWA MBALI USIANZE KUNIPIGIA PIGIA SIMU ZA KUNISALIMIA
8. HAKUNA NAMNA UNAWEZA KUNITENGANISHA MIMI NA CHAMA CHA MAPINDUZI, ENDAPO WEWE HUPENDI KABISA CHAMA CHA MAPINDUZI NAKUOMBA UKAE MBALI KIDOGO NA MIMI, NITA DEAL NA WANACHAMA NA WAPENZI WA CHAMA CHA MAPINDUZI TU
9. KAMA HUNIPENDI USIJIHANGAISHE KUNIAMBIA NATAMBUA KWAMBA SIO WATU WOTE WATANIPENDA
10. SITAKI STRESS, UKIINGIA KATIKA MAISHA YANGU USINILETEE STRESS, LAWAMA, KUNITISHA, KUNIONEA HURUMA AU KUNILETEA HABARI ZAKO ZA MASIKITIKO, CHANGAMOTO ZAKO ANZA KUPAMBANA NAZO MWENYEWE, HATA MIMI NINAZO ILA NAPIGANA NAZO
Comrade Ally Maftah
Kwahiyo siku ccm ikiamua wote mtinduliwe wewe utakua mstari wa mbele kutinduliwq.Usiyoyajua kuhusu mimi
1. Nikishaanza utekelezaji huwa sitaki ushauri katika safari ya utekelezaji.
2. Simwogopi mtu yoyote kwa sababu pia najitahidi kutovunja sheria.
3. Nikiamini jambo linawezekana nitamini hivyo mpaka nikilifanya likashindikana.
4. Simbembelezi mtu kunipenda, kununua bidhaa kwangu au kuniona mtu wa maana, mimi nitafanya jambo lililo sahihi tu,wewe utachagua usmuzi unaotakiwa kuufanya.
5. Nikihitaji ushauri nitakufuata kukuomba ushauri, huwa sipokei ushauri endapo wewe ndio unauhitaji mkubwa wa kunishauri, nikishaanza kuona unanilazimishia ushauri wako naanza kuhisi kuna biashara umeiona unataka kuielekezea kwako au unataka kunivuruga ili nipoteze malengo.
6. Sina chuki na mtu za kudumu, hata kama uliwahi kunikosea ikiwa upo kwenye eneo lenye fursa kwangu tunaweza kuzungumza na kupanga mipango ya kazi
7. Ikiwa hatuna biashara yoyote na wewe usitegemee kuona simu yangu, na sina chuki yoyote na wewe ila nataka ukae mbali kidogo usinikaribie sana, nipende kwa mbali usianze kunipigia pigia simu za kunisalimia
8. Hakuna namna unaweza kunitenganisha mimi na chama cha mapinduzi, endapo wewe hupendi kabisa chama cha mapinduzi nakuomba ukae mbali kidogo na mimi, nita deal na wanachama na wapenzi wa chama cha mapinduzi tu
9. Kama hunipendi usijihangaishe kuniambia natambua kwamba sio watu wote watanipenda
10. Sitaki stress, ukiingia katika maisha yangu usiniletee stress, lawama, kunitisha, kunionea huruma au kuniletea habari zako za masikitiko, changamoto zako anza kupambana nazo mwenyewe, hata mimi ninazo ila napigana nazo
Comrade Ally Maftah
View attachment 3041866
8. HAKUNA NAMNA UNAWEZA KUNITENGANISHA MIMI NA CHAMA CHA MAPINDUZI, ENDAPO WEWE HUPENDI KABISA CHAMA CHA MAPINDUZI NAKUOMBA UKAE MBALI KIDOGO NA MIMI, NITA DEAL NA WANACHAMA NA WAPENZI WA CHAMA CHA MAPINDUZI TU
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hiyo picha imenishtua nikadhani Ndanda Cosovo kafufuka