Usiyoyajua kuhusu Makabila ya Wajita na Wakurya

Wajita hawako strong.
 
Kabsa...wajita na wakurya ni vitu makabila mawili tofaut, kuanzia location, tabia, mila na desturi. Wakurya wanapatikana kwa wingi tarime wakat wajita wanapatikana kwa wingi musoma vijijini(majita) lakn pia kwny wilaya nyngne za mara haya makabila utayakuta. Kitabia wakurya ni wababe Sana Ile Hali wajita ni waongeajiu,wabishi na wapenda sifa. Hizo ni baadhi ya tofaut zao. Ila wakurya na wajita hawafanani kabsa.
 
(1) Wajaluo wanapenda uchawi sana.
(2) Wajaluo wakabila sana.
(3) Wajaluo wanapenda madaraka (vyeo), wanapenda kuabudiwa.
(4) Wajaluo ni watu wa migogoro kila wakati.
(5) Wajaluo wengi ni wapenda sifa.
Wajaluo wana uwezo mkubwa sana, wewe utakuwa na wivu tu na wajaluo, hawapendi ujinga tu, hasa wa wizi wa ng'ombe.
 
Ni
Nmejaribu kuelewa zaid unachokimaanisha nimegundua una mapenz na wajita
 
We mwenyew unaonekana mnafiki na mchawi unaejificha kwenye kivur cha wokov
 
Unamaana hata wanawake wa kijita hawana antenna?
Taarifa wanapataje bila King'amuzi?
Kumtoa mwanamke kisimbusi ni ukatili wa hali ya juu sana.
Mimi wa hivyo hata awe na tako sihangaiki nae.
Utafiti una nonesha kua mikoa ifuatayo inaongoza kwa idadi kubwa ya wanawake kukeketwa.
1. Manyara 58%
2. Dodoma 47%
3. Arusha 41%
4. Mara 32%
5. Singida 31%
Source: unfpa.org
Kifupi wakurya hawapo kwenye 3 bora ya ukeketaji ila jumba bovu limewaangukia wao, kila ukitolewa mfano wa ukeketaji wao wanakua wa kwanza kutajwa.
 
Kabila maaruf ndo tatizo wengne wanaongea kwa kuskiliza2 maneno ya kweny vijiwe vya kahawa
 
Unamaana hata wanawake wa kijita hawana antenna?
Taarifa wanapataje bila King'amuzi?
Kumtoa mwanamke kisimbusi ni ukatili wa hali ya juu sana.
Mimi wa hivyo hata awe na tako sihangaiki nae.
Wajita hawakeketi wao kuwafundisha mabinti zao kama pwani wanavyofanya unyagoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…