Amezaliwa mwaka 1994 lakini alianza kushiriki mashindano ya U-miss mwaka 2011 akiwa na umri wa miaka 17 kinyume na sheria...!!!
Siku kuna umri wa aina mbili..umri wa pasipoti/RITA na umri wa kudanganyia kwenye mitandao...Lulu wa Kanumba nae alikua mtoto akadanganya umri ili tu aruhusiwe kuingia disco..kilichompata baada ya kumuua Kanumba anajua mwenyewe.
Ahahaaa mwenzangu, na birthday ya kutimiza miaka kumi na nane akafanya dah kumbe hola, kilichomkuta anajua mwenyew
sura komavu hivo....asitutanie *****
1994???? Baaadaaeee Sanaaaaaa!!
Walishamkuza akiwa na miaka 14 ,so 17 alikuwa ameshakomaa...Huo aliweka umri wa Rita utakuta umri wake ni zaidi ya 23 huyo.Hapo inaonesha BASATA hawajui kazi yao mpaka kumuachia mtoto kushiriki hayo mashindano.Familia ilimuachia kwa kuwa walijua hiyo miaka 17 sio umri wake sahihi.
Hamisa kaishia form four na alichambwa sana kwa kushiriki mashindano ya miss university kumbe hata cheti cha computer course zile za elf 20 hana.Alinimaliza alipopiga picha na joho la magraduate kisha akaweka insta!watu walichamba mpaka akafuta.bahati mbaya enzi hizooo simu yenye screen capture zilikua hazijaingiaga bongo ningewwaletea ushongondola wake muone mmmxxiiiewwww