No Escape
JF-Expert Member
- Mar 7, 2016
- 6,663
- 7,774
-Ilitoka Paris airport saa 2109GMT Wednesday ikitegemewa kutua cairo Airport at 0115GMT.
-Saa 324GMT Iliingia Greek airspace.
-Controller wa Greek Airtraffic aliongea kwa mara ya mwisho saa 2345 na pilot aliripoti kuwa hakuna tatizo!
-Greek controller alipojaribu kuwasilliana kwa mara nyingine saa 0027GMT hapakuwa majibu kutoka kwa rubani!
-Ndege iliripotiwa kupotea kwenye radar za ugiriki saa 0029,40.
-Ilipofika saa 0030GMT ilipotea kwenye radar ya Egypt 280km coast.
-Jitihada za kuitafuta zilianza mara moja saa 0045, baada ya Rais wa Ufaransa kutangaza kuhusu crashing.
-Ndege ilifanya abrupt turns' yaani 90 degrees left then 360 Right.
-Baadae ilishuka kutoka 37000 mpaka 15000 then ikapotelea 10000...
So sad!
Itaendelea.....
Asubuhi njema!