JAYJAY
JF-Expert Member
- Oct 31, 2008
- 7,530
- 7,605
Nilipelekwa na babu yangu Mara ya kwanza 1988. Duh ilikuwa nyomi ya kufa MTU. Vishada kibao hewani mazungu ya kutosha na kuna wale Wa kuogelea kwa mapira yaani unamuona MTU yuko kuleeee Si mchezo. Mara ya mwisho nimeenda nadhani ilikuwa 2007 karibia nilie.zamani nikiona coco beach kwenye magazeti ya sani na bongo nilikuwa najua bonge la beach. nilivyopaona mara ya kwanza nilishangaa sana. mlima hoho yeyote akifika coco kwa mara ya kwanza lazima awe disiapointedi.