Usiyoyajua kuhusu Coco Beach!

zamani nikiona coco beach kwenye magazeti ya sani na bongo nilikuwa najua bonge la beach. nilivyopaona mara ya kwanza nilishangaa sana. mlima hoho yeyote akifika coco kwa mara ya kwanza lazima awe disiapointedi.
Nilipelekwa na babu yangu Mara ya kwanza 1988. Duh ilikuwa nyomi ya kufa MTU. Vishada kibao hewani mazungu ya kutosha na kuna wale Wa kuogelea kwa mapira yaani unamuona MTU yuko kuleeee Si mchezo. Mara ya mwisho nimeenda nadhani ilikuwa 2007 karibia nilie.
 
Mkuu enzi hizo m na shemijio ndio tunaanza mahusiano,tulibananishwa na watu walojifanya mamwela wakatuchukulia kila kitu naul tukasaidiwa na wasamalia wema,tangu siku hiyo nimejifunza kwenda beach za wastarabu​
naelewa,wale pumbavu hawawezi kukuacha we ule bata wakati wao wna njaa,so ni better wakubambike kesi mugawane.na hilo ni tatizo kila mahaki bongo
 
Naona watu.kibao tumewahi lizwa na hawa askari wezi!
Mkuu kilichonishangaza walipofanikiwa kutupora walitokomea vichakani,tulipofatilia asubuhi yake huko vichakan tulikuta wamechana mchana vitambulisho,card ya benki ya nmb walitokomea nayo,tulipoenda pale polisi kawe kutoa taarifa waliku.wa wakitambua uwepo wa hao matapel
 
Aisee hatari sana na aibu kwa hawa polisi wetu hasa wa oysterbay, na kunawengine wako fery ukiwa unakaa au unapitaa wanakukamataa eti kwanini unatupa vitu baharini. Sijui tunaenda wapi pia uwa hata hawasomi mitandao ya kijamii kama hii kwani uwezo wao wa kufikiri na kufahamu mdogo sana kwani haiwezekani kukaa mahali na sio kuzuia tukio lisitokee ila kungojea litokee ili. Uwatishe wausika apate rushwa hili ndio jeshi la polisi lilipofikia tuna shida sana watanzaniaa.
 
Nilipelekwa na babu yangu Mara ya kwanza 1988. Duh ilikuwa nyomi ya kufa MTU. Vishada kibao hewani mazungu ya kutosha na kuna wale Wa kuogelea kwa mapira yaani unamuona MTU yuko kuleeee Si mchezo. Mara ya mwisho nimeenda nadhani ilikuwa 2007 karibia nilie.
tatizo nini mkuu? kilio cha mtu mzima si mchezo
 
M
mkuu naona unataka.kunilengesha takukuru!
Mwaka huo takukuru aikuwepo,sema tu usiogope sheria hiyo ya kutoa kitu kidogo iliitwa chai,soda,hela ya maji mwisho ikabebeshwa neno takrima ,wakaikotoa hadi ten parcent hapo ndipo tukaizaa taasis ya kupambana na hizo vitu
 
umesahau mlungura mkuu.nilipa kaisari yaliyoyake.penye uzia penyeza rupia
 
zamani nikiona coco beach kwenye magazeti ya sani na bongo nilikuwa najua bonge la beach. nilivyopaona mara ya kwanza nilishangaa sana. mlima hoho yeyote akifika coco kwa mara ya kwanza lazima awe disiapointedi.
kama mm nilidhanigi bonge la ufukwe kumbe kalakabaho nenda landmark utaenjoy sana bila bugudha siku zote vya bure ni gharama
 
Askari kule hawalindi watu usalama wao bali wanavizia watu wawabambikie makesi yasiyo na msingi hasa ukienda na gari bila kushuka watakuvizia weee na wana watu wao wanaowapelekea taarifa hasa wale wauza miogo ya kutembeza
takua adui wao akinisogelea tu namchana live
 
"Utajir ni raha ila ni shida, umasikin ni shida pia ni raha"
Teh teh teh nimeipenda japo sijaielewa
 
Back
Top Bottom