Nilipelekwa na babu yangu Mara ya kwanza 1988. Duh ilikuwa nyomi ya kufa MTU. Vishada kibao hewani mazungu ya kutosha na kuna wale Wa kuogelea kwa mapira yaani unamuona MTU yuko kuleeee Si mchezo. Mara ya mwisho nimeenda nadhani ilikuwa 2007 karibia nilie.zamani nikiona coco beach kwenye magazeti ya sani na bongo nilikuwa najua bonge la beach. nilivyopaona mara ya kwanza nilishangaa sana. mlima hoho yeyote akifika coco kwa mara ya kwanza lazima awe disiapointedi.
naelewa,wale pumbavu hawawezi kukuacha we ule bata wakati wao wna njaa,so ni better wakubambike kesi mugawane.na hilo ni tatizo kila mahaki bongoMkuu enzi hizo m na shemijio ndio tunaanza mahusiano,tulibananishwa na watu walojifanya mamwela wakatuchukulia kila kitu naul tukasaidiwa na wasamalia wema,tangu siku hiyo nimejifunza kwenda beach za wastarabu
Mkuu kilichonishangaza walipofanikiwa kutupora walitokomea vichakani,tulipofatilia asubuhi yake huko vichakan tulikuta wamechana mchana vitambulisho,card ya benki ya nmb walitokomea nayo,tulipoenda pale polisi kawe kutoa taarifa waliku.wa wakitambua uwepo wa hao matapelNaona watu.kibao tumewahi lizwa na hawa askari wezi!
tatizo nini mkuu? kilio cha mtu mzima si mchezoNilipelekwa na babu yangu Mara ya kwanza 1988. Duh ilikuwa nyomi ya kufa MTU. Vishada kibao hewani mazungu ya kutosha na kuna wale Wa kuogelea kwa mapira yaani unamuona MTU yuko kuleeee Si mchezo. Mara ya mwisho nimeenda nadhani ilikuwa 2007 karibia nilie.
Mwaka huo takukuru aikuwepo,sema tu usiogope sheria hiyo ya kutoa kitu kidogo iliitwa chai,soda,hela ya maji mwisho ikabebeshwa neno takrima ,wakaikotoa hadi ten parcent hapo ndipo tukaizaa taasis ya kupambana na hizo vitumkuu naona unataka.kunilengesha takukuru!
umesahau mlungura mkuu.nilipa kaisari yaliyoyake.penye uzia penyeza rupiaM
Mwaka huo takukuru aikuwepo,sema tu usiogope sheria hiyo ya kutoa kitu kidogo iliitwa chai,soda,hela ya maji mwisho ikabebeshwa neno takrima ,wakaikotoa hadi ten parcent hapo ndipo tukaizaa taasis ya kupambana na hizo vitu
kama mm nilidhanigi bonge la ufukwe kumbe kalakabaho nenda landmark utaenjoy sana bila bugudha siku zote vya bure ni gharamazamani nikiona coco beach kwenye magazeti ya sani na bongo nilikuwa najua bonge la beach. nilivyopaona mara ya kwanza nilishangaa sana. mlima hoho yeyote akifika coco kwa mara ya kwanza lazima awe disiapointedi.
mkuu yale ni mawindo yao! wanajiongeza kwa kujiajiri kule.
takua adui wao akinisogelea tu namchana liveAskari kule hawalindi watu usalama wao bali wanavizia watu wawabambikie makesi yasiyo na msingi hasa ukienda na gari bila kushuka watakuvizia weee na wana watu wao wanaowapelekea taarifa hasa wale wauza miogo ya kutembeza
hahahaha haina shidaweka na muamala kabisa kwenye simu yako