Usiyoyajua kuhusu Coco Beach!

Hii hata Agakhan
 
mkuu democracy kila mtu na kitu anachopenda na kwenda unakotaka.mfano kwangu hata kwako sidhani kama unaweza kupata mishikaki ya samaki na ndizi za kuchomwa.au outing ya kawaida.kwanini ukae nyumbani 24/7 that is boring life.

Swali langu ni kwanini ukae ndani ya gari ukiwa Coco Beach kula, kunywa, nk ukiwa ndani ya gari? Hii ni kulingana na maelezo yako.
 
hujataitiwa mkuu! ukikamatwa na hawa jamaa angazao lazima ucheue mzigo.
Asante hata hivyo kwa kunipa taarifa siku nikienda pale lazima nijikoki tayari kwa fujo bila uoga maana huwa sipendi uonevu was kijinga.
 
Swali langu ni kwanini ukae ndani ya gari ukiwa Coco Beach kula, kunywa, nk ukiwa ndani ya gari? Hii ni kulingana na maelezo yako.
mkuu naona hujasoma post vizuri ukaelewa.nimese mara ya kwanza nilikamatwa nje ya gari.sasa unataka nikae nje tena nikamatwe kirahisi.naenda kule kuna vitu nategemea kupata (food stuffs ) pia kuona scene tofauti na nyumbani.
 
Ukitaka utulivu nenda beach za kulipia tu mi nilipigwa roba kunduch beach nikiwa na demu wangu simu,walet vyote vilisepa
 
Asante hata hivyo kwa kunipa taarifa siku nikienda pale lazima nijikoki tayari kwa fujo bila uoga maana huwa sipendi uonevu was kijinga.
poua mkuu.tunashare experience.kama mtu na Dada yake kakamatwa kisa wako.beach kwenye gari na kupakaziwa wanafanya ngono ni uonevu wa hali ya juu.
 
Mimi niko hapa coco beach, gari full tinted sijaizima nusu saa sasa niko na mrembo! Nawasubiri hao wajingawajinga!
 
Msukosuko nilioupata coco na binti mmoja hivi sintokaa niushahau maisha yangu yote😱, wale polisi wana njaa sana, hivi hawalipwi mishahara?
 
Hao polisi wa O bay hawajaacha tu mchezo wao?
Mi yalinipata hayo miaka 20 iliyopita!
Mradi huo " kuyamaliza"

Mie yalinikuta nikiwa kwenye Peugeot 504 mwaka 1995
Kumbe yanaendelea mpaka sasa Duh!
 
Nafikir Makonda kashasoma huu uzi na ameuelewa vijana tunavyopata shida na kukaa kwa waswas Coco Beach tutapenda kuona anachukua hatua kwa hao polis njaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…