Usiyoyajua kuhusu Coco Beach!

Kwa maelezo yako kuna kila dalili kuwa Hapo COCO BEACH kuna uhalifu sana, kwanini polisi wawe wengi hivyo?
 
Hao polisi wa O bay hawajaacha tu mchezo wao?
Mi yalinipata hayo miaka 20 iliyopita!
Mradi huo " kuyamaliza"
 
Kwa maelezo yako kuna kila dalili kuwa Hapo COCO BEACH kuna uhalifu sana, kwanini polisi wawe wengi hivyo?
Njaa Mkuu! Jamaa wananjaa sana! Na Ni Miaka mingi sana wapo pale, hata Sasa Hivi tunazungumza hapa huenda kuna mwengine anahangaika kuomba hela kwenye tigopesa ili Jamaa wamuachie.
 
mi pia nlinitokea nimekaa na mchuchu mahali tukaanza kukiss wakati tunaondoka wakatufuata mlikuwa mnafanya mapenzi. tukasumbuana hapo na hela wakanitoa. halafu wakati tunaondoka wakajifanya kunipa ushauri eti siku nyingine muwe mnakaa kwenye gari. manina zao
 
Katika fukwe nazochukia basi coco, nakumbuka nilikwenda pale mwaka 2011 nilikuwa na rafiki zangu fulani toka nje ya nchi basi, Baada ya kunywa madafu na mishkaki pale, Muda tunataka kuondoka kaja kijana mmoja anadai malipo ya parking, namuuliza parking zipi za kulipia hapa? Ananionyesha risit za manispaa ambazo hata mimi naweza kuzitengeneza,
Kwakweli tulibishana mno mpaka wakafika 3 nilibisha kulipa na sikulipa kweli, wale jamaa zangu walitaka kulipa niliwazuia kabisa kulipa, mpaka leo sijawahi kwenda pale na sina hamu napo tena
 
Kuna mtu alikamatwa dada yake pale na akafunguliwa kesi ya kufanya ngono hadharani, baba yao alipofika kituo cha polisi, polisi walitafutana. Maana mzee alikuwa na nafasi yake kwenye serikali akataka polisi aliyewakamata aeleze alichoona.
Almanausura watu wapoteze kazi kwenye hicho kituo cha polisi maarufu.
 
mkuu wale askari ni balaa! mimi mpaka leo nawafahamu walionipeleka O-Bay.wananjaa za ajabu mnooo.
 
hata hiyo hawawezi kuacha! imagine wamekamata mtu na dada yake ndani ya gari! wajinga sana wale askari
 
mkuu unaweza kufafanua huko KUMALIZANA mlikuwa mnamalizanaje...kwa MANENO au kwa MAHESABU na kama ni mahesabu viwango vyao vikoje? hii itasaidia wadau KUJIPANGA pindi wawapo maeneo hayo.
 
hata hiyo hawawezi kuacha! imagine wamekamata mtu na dada yake ndani ya gari! wajinga sana wale askari
Mara ya mwisho kwenda hapo Ilikuwa 2014 Na nilikaa kule mwenye Ile bar.
Huku kwa wachoma/wakaanga mihogo Ni usumbufu mtupu.
 
kweli.mkuu receipt zao ni jipu halafu wanakula buku.
 
Waku
mkuu wale askari ni balaa! mimi mpaka leo nawafahamu walionipeleka O-Bay.wananjaa za ajabu mnooo.[/QUOTE

Walikuaachia bila chochote au walikwambia "tufikirie kidogo"?!
 
mkuu ni nouma wale walishakula hela yangu ndefu! siku nilikuwa na serengeti.mmoja ndio wakadai hii kesi kabisa ya Babu seya! ili kupandisha dau
wana njaa kitu
 
so why coco beach,nenda cine club,kawe club,ama beach za kueleweka.kuna wakati nilikua mteja sana kule kwa wanajeshi kule kawe bia bei chee,kuna siku walimbananisha jamaa kichapo mpaka alikunya.sikwenda tena
hahahaha! nacheka kama mazuri...aliwakosea nini mkuu au UBABE tu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…