Usiyoyajua kuhusu Che Guevera

Kosa kubwa alifanya ni kuruhusu kukamatwa.
 
Haya
Aisee kuna baadhi ya binadamu wanaumea kwa sababu ya maisha duni wanayoishi wengine

kuna watu wanaandika majina yao vizuri kama CHE GUEVARA na wengine wanaandika majina yao vibaya kama HITLER
Haya makinikia ya kwetu wanapenda tu kuweka majina yao kwenye vitu vikubwa vikubwa ambavyo hata hawajafika kusaidia kwa lolote. STUPID IDIOTS!!!!
 
Jina lake linatamkwa vipi?
 
Hio ya kuuliwa na mwanajeshi mlevi sijaipata vizuri

Sent using Jamii Forums mobile app
Mario Terán wakati huo alikua ni Mwanajeshi (Sajenti) wa miaka 27 aliyekuwa na tabia ya ulevi (Alcoholic). Alijitolea kumuua Guevara kwa nia ya kulipiza kisasa baada ya wanajeshi wenzake watatu aliokuwa nao kwenye COMBANIA moja (B-Company) (wote waliitwa "Mario") kuuwawa na jeshi lililokuwa likiongozwa na Guevara.
 
Samahani mkUu Alikua Ni mwanajeshi wa nchi Gani ???

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Kingine kilichomkwaza ni ile tabia ya watu kula watu. Unakamata mateka kisha unamla nyama. Alisema hayo si mapinduzi.
 
Aha ... kwasababu Kuna habari moja niliisoma kuhusu huyu jamaa Nikaona CIA walihusika sana katika mauaji ya huyu mtu

Sent using Jamii Forums mobile app
Kiasi flani CIA walijaribu kumtafuta ila pia Historia inasema hakuna Mtu aliyekuwa anaogopwa na CIA kama Ernesto Guevara. Philip Agee ambaye alikuwa CIA agent (1957-1968) anasema "There was no person more feared by the company (CIA) than Che Guevara because he had the capacity and charisma necessary to direct the struggle against the political repression of the traditional hierarchies in power in the countries of Latin America"
 
Shukrani sana nimekuelewa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niliambiwa huyu jamaa alitoroka jela ya katika bahari na akaogerea hadi nchi kavu...

Source; katika kijiwe chetu cha kahawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…