Usiyofahamu kuhusu Fly Emirates

Tena yakwetu ilikuwa inafanana rangi naya obama
 
Hako kandege ka Tz sipandi siwezi poteza hela yangu kupanda ndege za toleo la babu zangu..Tz walahii tumelogwa bora tungefufua viwanda hata viwil vijana wapate ajira baadae wote tupande ndege..
Hako kandege kaone hivyo tu lakini 90% ya wa Tz wataishia kuiangalia juu angani,Tv na magazetini
 
Jamani.....si mumpe muda 'panga boy' akuwe. Jet zikianza kuota makwapani automatikale yale mapanga yatakatika. It is nachuro jamani....!
 
Mwenye picha ya pangaboi yetu please aniwekee hapa ili nione na sisi kumbe tumo
Vipi huwa unalipa ushuru unaotakiwa na kwa wakati. Achana na zile indirect cost nazungumzia direct cost.
 
Huyu mtu hapa mbele na hivi vipangaboi anakuwa anafanyaje?wajuvi wa mambo tuambiane...Kazi ya huyu dada/kaka hapa mbele inakuwa ni nini?
View attachment 405049
Maana ana vipangaboi mkononi
Mkuu huyu ni muongoza ndege...hawa wanaitwa "Marshaller"....kazi yao ni kumuongoza rubani anapokuwa ametua chini.
Hii kazi akifanya miaka kumi lazima masikio yazibe...Maana kelele zote za ndege lazima azisikie.Hivi huyo ni mwanamke?sijawahi kuona mwanamke kwa kazi hizo hapa Bongo...
 
Mimi nadhani tuna shida kwenye maarifa. Ignorance is killing our nation. mtu anajua maswala ya social sciences, lakini yeye ndio wa kwanza kutoa analysis ya ndege za turboprop vs jet....daah
 
Watanzania tunajikana sana dah, hv usipokishabikia cha kwako nan atakuja kukipenda!?tujifunze kupenda vyetu,mwlm nyerere alishatutoa kwenye ukoloni amkeni kifikra tokeni kwenye huo ushamba mambo leo...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…