Jackson matthew
Senior Member
- Jun 26, 2026
- 137
- 303
Inasikitisha!Mapenzi ni safari iliyo na milima na mabonde
Mapenzi ya kweli huanzi kutoka kwa muhusika mwenyewe,The Icebreaker kuna ujumbe wako huku mwanetu
Sijayakatia tamaa ila acha nikae single kwa muda maana sijaona bado
Nina mashaka na macho yako mjukuu🤣Sijayakatia tamaa ila acha nikae single kwa muda maana sijaona bado
You'll realise you've lost a Diamond.Sijayakatia tamaa ila acha nikae single kwa muda maana sijaona bado
Kwanini bibi au nivae miwani😂😂Nina mashaka na macho yako mjukuu🤣
Mhm haya sawaYou'll realise you've lost a Diamond.
while you were busy collecting stones.
Changamka kabla hatujakuchangamsha.Kwanini bibi au nivae miwani😂😂