Anastasia21
JF-Expert Member
- Jul 27, 2023
- 2,310
- 5,667
Na zipo hadi za buku 3 siku hiziKwanini huna elf 5 ya rough rider?
Utapata dhambi 😃 😃
Hahaha
kuna mmoja huyo nilivyomtongoza alikubali lkn kama hayupo nami nilikula mbususu siku moja akasepa akaenda chuo alivyorejea kazalishwa akaanza nitafuta mi nikakubali lkn tayari alikua kashachelewa nilikua nina mke na nina mtoto mmoja basi alirud kwa mbwembwe mahaba kwangu hadi kwa mwanangu kumbe alikotoka ameshajeruhiwa mi nikawa napiga kisela ana mbususu tamu nilikua namuweka style zote dadeki sasa anaona siku zinaenda mi sieleweki mara nimpe mtaji nikawa namwambia nitampa mwenyewe akajiongeza akaona hapa bila bila akasepaUsiwe kimbilio Mioyo Yao inapokua Broken, Baada ya kuumizwa kutoka kwa ampendaye anakuja kuuguza kidonda kwako ,Kikipona analudi kwa amtakaye, Hakikisha unakua Mchoyo wa Mda wako Usipatikane kirahisi...
tengeneza Ngome Imara .... anayekushibokea mshobokee
Ishawahi kukutokea Kipindi Unamuhitaji Mtu alikukataa iwe mpenzi, Rafiki au ndugu, Baada ya mda Fulani akarudi? Muweke mbali na moyo wako ujue Hilo ni koti la kuazima litarudi tu kwa mwenyewe,Jiandae Maumivu.
Kosa Kubwa Katika Maisha Kumsamehe msaliti Tena ukamruhusu msaliti awe Katika Cycle Yako utajuta.....
Aina ya watu waliokuzunguka ni matokeo ya unavyojichukulia.
Watu wengi wamealibikiwa maisha kuruhusu watu wasio sahihi kuwa Kalibu ,Mtu Mwenye Mafanikio anawatu wachache waliomzunguka Ambao nipe nikupe na sio nipe nisipe...
Wewe Mfalme Jenga Ngome Yako kumruhusu unayemtaka kwa Manufaa maalumu, Anayekutaka Hakikisha anathamani gani Kwako maana Watu huja na kuondoka baada ya kupata Alichokihitaji.
Taarifa zako zikitoka basi umeziruhusu , Hakikisha Project umemaliza ndo unamwambia Mtu in Process stop telling anyone.
Kujishusha kwa Aliyekuzidi si Ujinga Bali ni Taurati(Mchakato wa mafanikio), Jifunze nawala Usimchukie ,Kumsema kwa Mapungufu yake sio Dalaja la kumshusha zaidi unampandisha.
Huruma si Malezi, Asilimia 60% ya matatizo tuliyonayo yanatoka na tabia Mbaya tulizokuwa nazo ,Hivyo saidia Mtu ndani ya uwezo wako , Mapito ni funzo lake la kumuimarisha ajutiye tabia Mbaya alizo nazo.
Dada WA Taifa nakuona ...unaruhusu kupasha viporoAcha uchoyo mkuu tulia watu wapashe makabichi
Hahaha 🤣 🤣 🤣kuna mmoja huyo nilivyomtongoza alikubali lkn kama hayupo nami nilikula mbususu siku moja akasepa akaenda chuo alivyorejea kazalishwa akaanza nitafuta mi nikakubali lkn tayari alikua kashachelewa nilikua nina mke na nina mtoto mmoja basi alirud kwa mbwembwe mahaba kwangu hadi kwa mwanangu kumbe alikotoka ameshajeruhiwa mi nikawa napiga kisela ana mbususu tamu nilikua namuweka style zote dadeki sasa anaona siku zinaenda mi sieleweki mara nimpe mtaji nikawa namwambia nitampa mwenyewe akajiongeza akaona hapa bila bila akasepa
Hapana ufundi, mapenzi yanafutwaKusoma kozi ya mapenzi 😃
Sasa SI tutakufaHapana ufundi, mapenzi yanafutwa
Yakifutwa nani atatubembeleza? 😁Mapenzi yafutwe mnaopendana muende VETA
Mapenzi tunayo na veta tunayoMapenzi yafutwe mnaopendana muende VETA
Swaddaka mkuuUsiwe kimbilio Mioyo Yao inapokua Broken, Baada ya kuumizwa kutoka kwa ampendaye anakuja kuuguza kidonda kwako ,Kikipona anarudi kwa amtakaye, Hakikisha unakua Mchoyo wa Mda wako Usipatikane kirahisi...
tengeneza Ngome Imara .... anayekushibokea mshobokee
Ishawahi kukutokea Kipindi Unamuhitaji Mtu alikukataa iwe mpenzi, Rafiki au ndugu, Baada ya mda Fulani akarudi? Muweke mbali na moyo wako ujue Hilo ni koti la kuazima litarudi tu kwa mwenyewe,Jiandae Maumivu.
Kosa Kubwa Katika Maisha Kumsamehe msaliti Tena ukamruhusu msaliti awe Katika Cycle Yako utajuta.....
Aina ya watu waliokuzunguka ni matokeo ya unavyojichukulia.
Watu wengi wamealibikiwa maisha kuruhusu watu wasio sahihi kuwa Kalibu ,Mtu Mwenye Mafanikio anawatu wachache waliomzunguka Ambao nipe nikupe na sio nipe nisipe...
Wewe Mfalme Jenga Ngome Yako kumruhusu unayemtaka kwa Manufaa maalumu, Anayekutaka Hakikisha anathamani gani Kwako maana Watu huja na kuondoka baada ya kupata Alichokihitaji.
Taarifa zako zikitoka basi umeziruhusu , Hakikisha Project umemaliza ndo unamwambia Mtu in Process stop telling anyone.
Kujishusha kwa Aliyekuzidi si Ujinga Bali ni Taurati(Mchakato wa mafanikio), Jifunze nawala Usimchukie ,Kumsema kwa Mapungufu yake sio Dalaja la kumshusha zaidi unampandisha.
Huruma si Malezi, Asilimia 60% ya matatizo tuliyonayo yanatoka na tabia Mbaya tulizokuwa nazo ,Hivyo saidia Mtu ndani ya uwezo wako , Mapito ni funzo lake la kumuimarisha ajutiye tabia Mbaya alizo nazo.
Pamoja 🙏Naunga hoja Yako
Sidhani 😹Utapata dhambi 😃 😃
Zahanati ziko hadi za bure, kuumwa kujitakiaNa zipo hadi za buku 3 siku hizi
Ndio wenye helaMtu wa 40 anatafuta nini kwenye hizo ligi? Huyo si keshasettle?
Miaka 40 ushapoteaNdio wenye hela
U don't aware of life in African societyMiaka 40 ushapotea
Umenigusa 100%Kabisa