Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 32,381
- 80,262
Kusoma kozi ya mapenzi 😃Mapenzi yafutwe mnaopendana muende VETA
Kusoma kozi ya mapenzi 😃Mapenzi yafutwe mnaopendana muende VETA
KabisaUzi wa kulalia😎🤏🏿
HahahaKusoma kozi ya mapenzi 😃
👊Upo sahihi kabisa na wahanga wakubwa ni wanaume wenye umri kuanzia 40 na kuendelea
Amekuwa aki-quoate hewa mda mrefu sana🤣🤣🤣Na wewe uelekee VETA 😁
Mtu wa 40 anatafuta nini kwenye hizo ligi? Huyo si keshasettle?Upo sahihi kabisa na wahanga wakubwa ni wanaume wenye umri kuanzia 40 na kuendelea
HahahaMtu wa 40 anatafuta nini kwenye hizo ligi? Huyo si keshasettle?
Si ndio.. kwanza nikuache namuachia nani? Nikienda nikikuta yaliyomo hayamo narudia makabichi yangu Kupasha sio dhambi😃😃
Kabisa.Acha uchoyo mkuu tulia watu wapashe makabichi
Kwani Walipokutenda uliyatupa baharini?Hivi kumbe mapenzi bado yapo?
Umewaza nini?Upo sahihi kabisa na wahanga wakubwa ni wanaume wenye umri kuanzia 40 na kuendelea
Yapo sanaHivi kumbe mapenzi bado yapo?
Kawaza mbaliUmewaza nini?
Kumbuka na Magonjwa 😅Kwani Walipokutenda uliyatupa baharini?
Exactly 💯Si ndio.. kwanza nikuache namuachia nani? Nikienda nikikuta yaliyomo hayamo narudia makabichi yangu
Kwanini huna elf 5 ya rough rider?Kumbuka na Magonjwa 😅
DuuExactly 💯
HahahaKwanini huna elf 5 ya rough rider?