Scott junior JF-Expert Member Joined Mar 24, 2022 Posts 2,472 Reaction score 3,325 Feb 4, 2026 Thread starter #21 King Kong III said: Ni hatari kwa afya yako ,hairuhusiwi kutumia ukiwa chini ya miaka 18 ,tumia kistaarabu. Click to expand... Hii maneno sijawahi kuielewa
King Kong III said: Ni hatari kwa afya yako ,hairuhusiwi kutumia ukiwa chini ya miaka 18 ,tumia kistaarabu. Click to expand... Hii maneno sijawahi kuielewa
Scott junior JF-Expert Member Joined Mar 24, 2022 Posts 2,472 Reaction score 3,325 Feb 4, 2026 Thread starter #22 Seran said: Natumia vizuri tu mkuu Click to expand... Sina uhakika Umekaa kilokole sana haha
Seran JF-Expert Member Joined Feb 7, 2025 Posts 11,863 Reaction score 35,274 Feb 4, 2026 #23 Munch wa Annabelle said: Ndo umefikia huku Click to expand... Hali ni tete mkuu fanya jambo nilambe mchuzi.
Munch wa Annabelle said: Ndo umefikia huku Click to expand... Hali ni tete mkuu fanya jambo nilambe mchuzi.
King Kong III JF-Expert Member Joined Oct 15, 2010 Posts 60,412 Reaction score 88,729 Feb 4, 2026 #24 Scott junior said: Hii maneno sijawahi kuielewa Click to expand... Huwa wanazingua kabisa kama ni hatari kwa afya kwanini wauze? Hairuhusiwi kuuzwa je wanaowatuma watoto wakatae? Kiustaarabu kuanzia ngapi?
Scott junior said: Hii maneno sijawahi kuielewa Click to expand... Huwa wanazingua kabisa kama ni hatari kwa afya kwanini wauze? Hairuhusiwi kuuzwa je wanaowatuma watoto wakatae? Kiustaarabu kuanzia ngapi?
Seran JF-Expert Member Joined Feb 7, 2025 Posts 11,863 Reaction score 35,274 Feb 4, 2026 #25 Scott junior said: Tufe nayo mazima ya kazi gani? Ponda mali kufa kwaja. Click to expand... Ukawaringishie wachawi kuzimu
Scott junior said: Tufe nayo mazima ya kazi gani? Ponda mali kufa kwaja. Click to expand... Ukawaringishie wachawi kuzimu
Seran JF-Expert Member Joined Feb 7, 2025 Posts 11,863 Reaction score 35,274 Feb 4, 2026 #26 Scott junior said: Dada hata kama we ni jobless Huku umefikia pabaya. Click to expand... Kwahiyo nilale njaa na vitamins zipo😆
Scott junior said: Dada hata kama we ni jobless Huku umefikia pabaya. Click to expand... Kwahiyo nilale njaa na vitamins zipo😆
Scott junior JF-Expert Member Joined Mar 24, 2022 Posts 2,472 Reaction score 3,325 Feb 4, 2026 Thread starter #27 min -me Vitu vyako hivi, au unatumia zile za bei 1=300000
Munch wa Annabelle JF-Expert Member Joined Aug 13, 2019 Posts 6,355 Reaction score 11,063 Feb 4, 2026 #28 Scott junior said: Tufe nayo mazima ya kazi gani? Ponda mali kufa kwaja. Click to expand... Hii ndo dawa yenu hakuna Ndugu kuchangia Hela za hospital
Scott junior said: Tufe nayo mazima ya kazi gani? Ponda mali kufa kwaja. Click to expand... Hii ndo dawa yenu hakuna Ndugu kuchangia Hela za hospital
Seran JF-Expert Member Joined Feb 7, 2025 Posts 11,863 Reaction score 35,274 Feb 4, 2026 #29 Scott junior said: Sina uhakika Umekaa kilokole sana haha Click to expand... Sema nilishaacha ndio maana ya kuokoka, nimeokolewa mkuu😅
Scott junior said: Sina uhakika Umekaa kilokole sana haha Click to expand... Sema nilishaacha ndio maana ya kuokoka, nimeokolewa mkuu😅
Scott junior JF-Expert Member Joined Mar 24, 2022 Posts 2,472 Reaction score 3,325 Feb 4, 2026 Thread starter #30 King Kong III said: Huwa wanazingua kabisa kama ni hatari kwa afya kwanini wauze? Hairuhusiwi kuuzwa je wanaowatuma watoto wakatae? Kiustaarabu kuanzia ngapi? Click to expand... Ukisoma yale maelezo kwenye sigara ndio utacheka sana.🤣
King Kong III said: Huwa wanazingua kabisa kama ni hatari kwa afya kwanini wauze? Hairuhusiwi kuuzwa je wanaowatuma watoto wakatae? Kiustaarabu kuanzia ngapi? Click to expand... Ukisoma yale maelezo kwenye sigara ndio utacheka sana.🤣
Munch wa Annabelle JF-Expert Member Joined Aug 13, 2019 Posts 6,355 Reaction score 11,063 Feb 4, 2026 #31 Scott junior said: Tufe nayo mazima ya kazi gani? Ponda mali kufa kwaja. Click to expand... Hii ndo dawa yenu hakuna Ndugu kuchangia Hela za hospital Attachments 6168607-a66587629357f0a146c7b419b664488.mp4 1.2 MB
Scott junior said: Tufe nayo mazima ya kazi gani? Ponda mali kufa kwaja. Click to expand... Hii ndo dawa yenu hakuna Ndugu kuchangia Hela za hospital
Scott junior JF-Expert Member Joined Mar 24, 2022 Posts 2,472 Reaction score 3,325 Feb 4, 2026 Thread starter #32 Munch wa Annabelle said: Hii ndo dawa yenu hakuna Ndugu kuchangia Hela za hospital Click to expand... Sisi ni wanyaji smart🤣
Munch wa Annabelle said: Hii ndo dawa yenu hakuna Ndugu kuchangia Hela za hospital Click to expand... Sisi ni wanyaji smart🤣
Scott junior JF-Expert Member Joined Mar 24, 2022 Posts 2,472 Reaction score 3,325 Feb 4, 2026 Thread starter #33 Seran said: Sema nilishaacha ndio maana ya kuokoka, nimeokolewa mkuu😅 Click to expand... Pole sana Nimsamehe sana nimekukumbusha na kukutamanisha🤣
Seran said: Sema nilishaacha ndio maana ya kuokoka, nimeokolewa mkuu😅 Click to expand... Pole sana Nimsamehe sana nimekukumbusha na kukutamanisha🤣
King Kong III JF-Expert Member Joined Oct 15, 2010 Posts 60,412 Reaction score 88,729 Feb 4, 2026 #34 Munch wa Annabelle said: Hii ndo dawa yenu hakuna Ndugu kuchangia Hela za hospital Click to expand... Hhahaha namkubali sana Dr ana madini mengi sema ukimsikiliza unaweza ukaona kama anafanya utani. ALitoa sababu gani kwamba wakiugua wazikwe hai?
Munch wa Annabelle said: Hii ndo dawa yenu hakuna Ndugu kuchangia Hela za hospital Click to expand... Hhahaha namkubali sana Dr ana madini mengi sema ukimsikiliza unaweza ukaona kama anafanya utani. ALitoa sababu gani kwamba wakiugua wazikwe hai?
Munch wa Annabelle JF-Expert Member Joined Aug 13, 2019 Posts 6,355 Reaction score 11,063 Feb 4, 2026 #35 King Kong III said: Hhahaha namkubali sana Dr ana madini mengi sema ukimsikiliza unaweza ukaona kama anafanya utani. ALitoa sababu gani kwamba wakiugua wazikwe hai? Click to expand... Hakutoa mkuu
King Kong III said: Hhahaha namkubali sana Dr ana madini mengi sema ukimsikiliza unaweza ukaona kama anafanya utani. ALitoa sababu gani kwamba wakiugua wazikwe hai? Click to expand... Hakutoa mkuu
Scott junior JF-Expert Member Joined Mar 24, 2022 Posts 2,472 Reaction score 3,325 Feb 4, 2026 Thread starter #36 Munch wa Annabelle said: Hii ndo dawa yenu hakuna Ndugu kuchangia Hela za hospital Click to expand... Sisi ni wanyaji smart hao walevi unaowazungumzia ni hawa👆😂😂
Munch wa Annabelle said: Hii ndo dawa yenu hakuna Ndugu kuchangia Hela za hospital Click to expand... Sisi ni wanyaji smart hao walevi unaowazungumzia ni hawa👆😂😂
Seran JF-Expert Member Joined Feb 7, 2025 Posts 11,863 Reaction score 35,274 Feb 4, 2026 #37 Scott junior said: Pole sana Nimsamehe sana nimekukumbusha na kukutamanisha🤣 Click to expand... Usiwaze mkuu mi sio malaika nikiwa na kiwiii nakata mzinga vizuri kabisa, kuwa na amani😂
Scott junior said: Pole sana Nimsamehe sana nimekukumbusha na kukutamanisha🤣 Click to expand... Usiwaze mkuu mi sio malaika nikiwa na kiwiii nakata mzinga vizuri kabisa, kuwa na amani😂
Seran JF-Expert Member Joined Feb 7, 2025 Posts 11,863 Reaction score 35,274 Feb 4, 2026 #38 Scott junior said: View attachment 3539151 Sisi ni wanyaji smart hao walevi unaowazungumzia ni hawa👆😂😂 Click to expand... Kwanini kavaa pampaz🙆🏽♀️
Scott junior said: View attachment 3539151 Sisi ni wanyaji smart hao walevi unaowazungumzia ni hawa👆😂😂 Click to expand... Kwanini kavaa pampaz🙆🏽♀️
Scott junior JF-Expert Member Joined Mar 24, 2022 Posts 2,472 Reaction score 3,325 Feb 4, 2026 Thread starter #39 Munch wa Annabelle Hii level hatuwezi kufika ndugu yangu hawa ni walevi Sisi tunakunywa ki smart sana😂
Munch wa Annabelle Hii level hatuwezi kufika ndugu yangu hawa ni walevi Sisi tunakunywa ki smart sana😂
Scott junior JF-Expert Member Joined Mar 24, 2022 Posts 2,472 Reaction score 3,325 Feb 4, 2026 Thread starter #40 Seran said: Kwanini kavaa pampaz🙆🏽♀️ Click to expand... Ndugu yangu hata mimi sielewi😆