Labda aibu banaSisi wengn hata tumkopeshe nani kurudishiwa ugomvi, na tukiwa na shida utamaliza phonebook yote hupati hata mia
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndukiiii
Ungemwambia arudishe Ile 30 Kwanza!Kuna askari mmoja jamaa yangu alikuja kunikopa mwanzo nilim test kumkopa elfu 30 hakuludisha so na mimi sikumkumbusha next time akapata tatizo la milioni na nilikua nnauwezo wa kumpa ila nikaona ndio itakua mwisho wa urafiki wetu nikampotezea.
Kuna rafiki alinikopesha laki 6. Sijamlipa hadi leo mwaka wa 4. Sina amani kabisa moyoni maana sikukusudia ila mambo yalikwenda kombo.
Mungu nisaidie nimlipe pesa yake.
Kwenye kijiwe kimoja kuliibuka mjadala kuhusu uaminifu wa mkopwaji,kuna mzee mmoja alisema kwa kusisitiza kuwa "vijana wangu mkopeshe mtu yeyote lakini si kiongozi wako yeyote wa kiroho (mchungaji wako n.k, kiongozi wako yeyote wa kisiasa (mwenyekiti,katibu n.k),Hakimu mliyezoeana,Askari mliyezoeana".Kama ni kumpa mpe tu then usahau lakini usithubutu kumkopesha na utarajie kuwa atakurejeshea.
Je, ni kweli hao watu waliotajwa hawakopesheki? Na ni nini hasa kinachopelekea wasiwe wepesi kurejesha mkopo waliochukua kwa marafiki/jamaa zao?.
Nilishaongea naye mkuu.Ongea naye sasa
Mpenzi ni sawa na kumkopesha baba mkwe
Umesahau mchepukoKwenye kijiwe kimoja kuliibuka mjadala kuhusu uaminifu wa mkopwaji,kuna mzee mmoja alisema kwa kusisitiza kuwa "vijana wangu mkopeshe mtu yeyote lakini si kiongozi wako yeyote wa kiroho (mchungaji wako n.k, kiongozi wako yeyote wa kisiasa (mwenyekiti,katibu n.k),Hakimu mliyezoeana,Askari mliyezoeana".Kama ni kumpa mpe tu then usahau lakini usithubutu kumkopesha na utarajie kuwa atakurejeshea.
Je, ni kweli hao watu waliotajwa hawakopesheki? Na ni nini hasa kinachopelekea wasiwe wepesi kurejesha mkopo waliochukua kwa marafiki/jamaa zao?.
Mwanamke huwa hakopeshwi mkuu kwasababu atakuja kukulipa in kind ila sio pesa yakoVipi na kuhusiana na kukopesha mwanamke ambaye mlishawahi kugegedana alafu hamjakulana kama miaka miwili hivi?
Mwanamke huwa hakopeshwi mkuu kwasababu atakuja kukulipa in kind ila sio pesa yako
yeah mkuu anajua utaichakata hautaimaliza manake haina makombo iyo mkuuKwa hiyo hapa nitegemee kupewa papuchi nigegede au sio
yeah mkuu anajua utaichakata hautaimaliza manake haina makombo iyo mkuu
CompositionFallacy
Andikishaneni akizingua sheria ipo wabongo mnawaza ngono tu!Vipi na kuhusiana na kukopesha mwanamke ambaye mlishawahi kugegedana alafu hamjakulana kama miaka miwili hivi?
Andikishaneni akizingua sheria ipo wabongo mnawaza ngono tu!
KaziSasa wee unataka tuwaze nini mkuu ebu tuambie.
Maana ata huyo mfalme sulemani aloyekuwa tajiri akaangalia na akona kuwa vyote hivi ni ubatili.