Usiulize maswali haya kwa mpenzi wako

Usiulize maswali haya kwa mpenzi wako

Kuna watu sijui niseme ni upeo Mdogo katika mahusiano au ndio kukariri.
Hawajui ata swali la kumuuliza mpenzi wake, kwa mfano mtu anakuuliza

1.Umenipenda au umenitamani?
Nikujidanganya tu hakuna tofauti ya kupenda na kutamani.

2. Uliwai kua na wapenzi wangapi?
Ivi unategemea mtu atakuambia ukweli idadi ya wanawake au wanaume aliotembea nao ili iweje.

3. Umenipendea nini?
Apa ndio nachekaga sana, apa unategwa kila utachomjibu kua nimekupenda kwa ajiri ya kitu fulan anakuuliza nikipata ajar kikikatka itakuaje.

4. Eti uliwai kuugua ugonjwa wowote WA dhinaa mpenzi?
Nani atakuambia ukweli kama aliwai kupata gono au pangusa.

5.Bikra ilitoka Lini na alikutoa nan?
Inakuaje mtu anataka kujua bikra ya mtu ilitoka lin ,na kunafaida gan kujua hili.

Na wewe weka swali LA kizushi uliloulizwa na mpenzi wako.

Kwa jinsi nilivyojichokea ukiuliza unapewa ukweli.
 
Mimi ni wangapi kwako? aaah wewe ni wa 2 toka nizaliwe, ahaaaaa safi sana kwa kujitunza my dear, Mmmmm! mimi kweli ni wa pili? mbona kisima kirefu sana na ni kipana mno kuzidi ramani na mchoro halisi? aaaah, mimi huwa naendesha baiskeli yawezekana ndiyo imesababisha hii hali, mmmmmmmmmh.

hahahaaaaa majibu mazuuri haya
 
Babe hivi wewe kabila gano? Halafu kila mkiwa naye ukifanya jambo lolote utamsikia: kwahiyo babe kikwenu ndio mnafanyaga hivi??? Au kabila lenu ndilo linafanyaga hivi na hivi??? Duuh, wewe umenipenda mimi au kabila???
 
Rafiki yangu wa kike nilimuuliza umewah sex mara ngapi. Kaniambia mara 10. Nikazimia
 
Haya maswali ni ya muhimu sana, hata kama atakupa wrong answers, haina tofauti common qstn za intervw like tel us about your self. Ila swali la muhmu sana ni kwanini umeachana na mpenzi wako wa mwisho kutoka mimi?
 
Haya maswali ni ya muhimu sana, hata kama atakupa wrong answers, haina tofauti na common qstn za intervw like tel us about your self. Ila swali la muhmu sana ni kwanini umeachana na mpenzi wako wa mwisho kutoka mimi?
 
Mimi ni wangapi kwako? aaah wewe ni wa 2 toka nizaliwe, ahaaaaa safi sana kwa kujitunza my dear, Mmmmm! mimi kweli ni wa pili? mbona kisima kirefu sana na ni kipana mno kuzidi ramani na mchoro halisi? aaaah, mimi huwa naendesha baiskeli yawezekana ndiyo imesababisha hii hali, mmmmmmmmmh.

hahaaaaaaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom