Jamani usiulize maswali haya kwa mpenzi wako

Jamani usiulize maswali haya kwa mpenzi wako

xivii09

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2012
Posts
269
Reaction score
156
Kuna watu sijui niseme ni upeo Mdogo katika mahusiano au ndio kukariri. Hawajui ata swali la kumuuliza mpenzi wake, kwa mfano mtu anakuuliza

1.Umenipenda au umenitamani?

Nikujidanganya tu hakuna tofauti ya kupenda na kutamani.

2. Uliwai kua na wapenzi wangapi?

Ivi unategemea mtu atakuambia ukweli idadi ya wanawake au wanaume aliotembea nao ili iweje.

3. Umenipendea nini?

Apa ndio nachekaga sana, apa unategwa kila utachomjibu kua nimekupenda kwa ajiri ya kitu fulan anakuuliza nikipata ajar kikikatka itakuaje.


4. Eti uliwai kuugua ugonjwa wowote WA dhinaa mpenzi?

Nani atakuambia ukweli kama aliwai kupata gono au pangusa.

5.Bikra ilitoka Lini na alikutoa nan? au mara ya kwaza kufanya sex ni lini?

Inakuaje mtu anataka kujua bikra ya mtu ilitoka lin, na kunafaida gan kujua hili.

Na wewe weka swali LA kizushi uliloulizwa na mpenzi wako na ulikuja situka baade.
 
ugonjwa wa dhinaa ndo ugonjwa upi huo?
 
mimi nauliza una sh ngapi bank lakini siyo baya kumbe nitakuwa nauliza kwa herufi kubwa
 
hapo thaatha.....wanawake wanapenda pesa na utanashati wa mtu...sio mtu hueleweki mchafu..huna ela alafu unauliza babe umenipendea nin..jamani....pia mwanamke hujieshimu..mchafu.nguo hazikustil then unauliza umenipendea nin..zaidi ya papuchi sijui kam kuna jibu jengine apo...
 
ila sometime love don't ask why...utakuta mwengine anajijua kabisa jinsi alivyo..ila mpenzi wake anampenda balaa.hapo lazima ajishutikie mwezangu...kuuliza muhimu.
 
Back
Top Bottom