Usiue Askari

Usiue Askari

Kwani askari siyo binaadamu wa kawaida?
Kwani askari siyo binaadamu wa kawaida?
Kwani askari siyo binaadamu wa kawaida?
Ndugu askari ni binadamu kama wewe ; ila ukitizama kwa kina majukumu na wajibu wao kwa binadamu wenzao wanakuzidi! Fikiria mtu aliapa kutoa uhai wake ili kulinda mali na uhai wa wengine apewe thamani gani? Inapigwa risasi tunatafuta pahala salama pa kujificha askari shujaaa anajitoa kumfuata huyo mtoa uhai. Mungu wabariki askari wote shujaa waliopoteza roho zao wakitekeleza wajibu wao!
 
Back
Top Bottom