Raymanu KE
JF-Expert Member
- Jan 20, 2022
- 10,639
- 20,000
Hakika Kuna Jambo la kujifunza hapa.Kamwe usimdharau Wala kumdhulumu mwenzio maana nyuma Yake Kuna watu wanaomtegemea.
Kama wana masikio ya kusikia na ufahamu wa kutambuaUjumbe huu uwafikie fisiemu
wewe ni EINSTEINBila Shaka utakuwa umegundua hii ni mizoga ya makinda ya ndege fulani!
Kwa mtazamo wa kawaida utaungana nami kuwa kifo chao kilitokana na kutokuwepo kwa Mama yao!
Yamkini mama alienda kutafuta chakula na hakurudi tena!
Hata hivyo, maisha yao, makuzi yao, kula na kunywa kwao, hatima yao ilimtegemea Mama yao Sana.!
Yawezakuwa ni Tamaa, ubinafsi, njaa ya mtu au mnyama mwingine iliyo sababisha mama wa makinda haya afe na kuleta kifo cha makinda yake pia!
Sikia nikuambie mpendwa Tamaa yako, jeuri yako, ubinafsi wako, njaa yako isiwe sababu ya kuleta shida kwa wengine.!
KUMBUKA
Huyo umuonaye wa kawaida machoni pako na unaamua kumuwekea kila aina ya vizingiti asifanikiwe labda kwa haraka ni tegemeo na msaada kwa wengine.
Wako wengi nyuma yake ambao maisha yao yanamtegemea huyo.!
Jifunze kutokuamua kwa tamaa, hasira wala jeuri au kwa ubinafsi, fikiria maisha ya wengine na utakuwa heri.
Kuna mtu leo hii ukimungalia unaona kabisa ameangamiza wengi waliokuwa nyuma yake,! dumisha upendo, nia njema na amani, kuchukuliana nawe utaitwa heri na kukumbukwa kwa mema na si mabaya
Tunatanguliza tamaa zetu katika mambo madogo, kuchukia na hata kuwaumiza wengine na kuua bila kujua kuwa wamebeba hatima ya watu wengi![emoji419][emoji375]
Jr[emoji769] future pastor[emoji173]View attachment 2656642
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakosea nini mkuu kwanini umewauaNina miaka chini ya 30. Kwa makadirio Nimeshaua ngendere Zaidi ya 2,000, kima zaidi ya 1,000 na nyani zaidi ya 500.
Mkuu Mshana Jr. Umeongea kitu kikubwa,May GOD Bless you [emoji120]Bila Shaka utakuwa umegundua hii ni mizoga ya makinda ya ndege fulani!
Kwa mtazamo wa kawaida utaungana nami kuwa kifo chao kilitokana na kutokuwepo kwa Mama yao!
Yamkini mama alienda kutafuta chakula na hakurudi tena!
Hata hivyo, maisha yao, makuzi yao, kula na kunywa kwao, hatima yao ilimtegemea Mama yao Sana.!
Yawezakuwa ni Tamaa, ubinafsi, njaa ya mtu au mnyama mwingine iliyo sababisha mama wa makinda haya afe na kuleta kifo cha makinda yake pia!
Sikia nikuambie mpendwa Tamaa yako, jeuri yako, ubinafsi wako, njaa yako isiwe sababu ya kuleta shida kwa wengine.!
KUMBUKA
Huyo umuonaye wa kawaida machoni pako na unaamua kumuwekea kila aina ya vizingiti asifanikiwe labda kwa haraka ni tegemeo na msaada kwa wengine.
Wako wengi nyuma yake ambao maisha yao yanamtegemea huyo.!
Jifunze kutokuamua kwa tamaa, hasira wala jeuri au kwa ubinafsi, fikiria maisha ya wengine na utakuwa heri.
Kuna mtu leo hii ukimungalia unaona kabisa ameangamiza wengi waliokuwa nyuma yake,! dumisha upendo, nia njema na amani, kuchukuliana nawe utaitwa heri na kukumbukwa kwa mema na si mabaya
Tunatanguliza tamaa zetu katika mambo madogo, kuchukia na hata kuwaumiza wengine na kuua bila kujua kuwa wamebeba hatima ya watu wengi![emoji419][emoji375]
Jr[emoji769] future pastor[emoji173]View attachment 2656642
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Mshana Jr. Umeongea kitu kikubwa,May GOD Bless you [emoji120]
Sent from my SM-N986B using JamiiForums mobile app