Kashaulo
JF-Expert Member
- Jun 14, 2019
- 2,940
- 4,962
Kubeba pesa uendapo mahali ni muhimu sana, kama huna na hamna ulazima wa kutoka tulia zako tu ndani
Hivi nyie mnaishi humu JF tu!!
Kubeba pesa uendapo mahali ni muhimu sana, kama huna na hamna ulazima wa kutoka tulia zako tu ndani
....tena ni vema kuhakikisha utumiacho uwe na uwezo wa kukilipia hata kama hutakilipia wewe.
Nabeba for emergency sio za kulipa ebo [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mbona hatuoni mkilipa hizo bills, au nyie mnakula huku huku JF!!
Mlamu, kama kuna mmoja unamjua... au ikitokea ukapata wawili nigeie mmoja tafadhali.