Vijana wa kiume nawaasa "usithubutu, neve ever kusomesha girlfriend eti kisa unatarajia utakuja kumuoa, acha basi wewe.
Wasichana wengi ni ma-drama queen,atakunyenyekea ili umsomeshe na anaweza akakubali kuolewa na wewe sio kwamba kakupenda ila tu anataka kulipa fadhila,
vurugu huwa inaanza akishapata kazi nzuri ya kumuwezesha kujitegemea utajuta.Jamaa zangu watatu sasa hivi wanajuta!Somesha mke na sio girlfriend.
Unataka chukua hutaki acha
Kuna rafiki yangu yamemkuta!pia mimi nlikuwa na galfrd alikuwa anafanya kazi benki nlishawahi kumlipia ada ya mitihani ya bodi ya bankers,kilichofua ni historia!
Wadada wanajitetea, kinakaka wanalaumu.
Shapata jibu.....sisomeshi ng'o
Ngoja yawakute, huko kwenu ndugu wa kusomeshwa waliisha mkaparamia mliokutana njiani?
mke na gelofriend wote sawa. ukijitia kimbele mbele kuwasomesha itakula kwako
nachukia sana mtu nayefanya kitu ili apewe rreturns hasa kama aaliamua kujitolea.
Hii haina tofauti na yule mtu anayesaidia watu kwa moyo mzuri lkn inner conscious inamwambia nategemea kupata fadhila kwa Mungu. Siku zote Mungu huwa hakupi baraka kwa vitu unavyovifanya kwa kujitolea huku nyuma ukiwa na hidden agenda.
Kama ulimwambia nataka nikuoe then take her first afu ndo umsomeshe ili ujue namsomesha mke, ila kama unamsomesha kwasabb unahofia atakuwa anakutia aibu kwasabb ya elimu yake ndogo na hasa unapotoka nae out of inferirity complex unaamua kumpeleka shule ili aweze kusocialize sawa ana wewe asikutie aibu then kubali matokeo akiwa mjanja ama mnasahau kwamba usimuamshe alolala??
kusomesha gf si jambo baya ila sio garantii ya kumuoa manake pia urafiki tu hauwez kujustfy destination wangapi wanakuwa marafiki wazuri lkn wanashindwa kuoana na kuishia kuachana?? sasa kwann wewe ada yako ya shule ikufanye uone kwamba ni ndoa tayari?
acha asomeshwe na wazaz wake ikiwa unataka mke msomi basi mwoe kisha mpeleke shule ukiona vipi katafute anayemeet qualities zako thats it
Me nasoma chuo flani nimepanga mtaani,nilipopanga tupo wanafunzi wengi tu,kuna dada mmoja anasomeshwa na jamaa mmoja ni mfanyakazi,huyo dada anovyogawa papuchi hovyo kama mama huruma!huwa namuhurumia sana jamaa akija kumtembelea natamani nimwambie tatizo sina mazoea nao!
soma wewe acha umbeya kama me nenda na wewe ukamle hainaga makombo ati
angekuwa dada yako ungefurahi?
mnato wake,mtu mzima above 18 ,sasa kama kaamua kugawa nitamkataza?kila mtu ana uhuru wakuchagua maisha yake bana hebu nipm namba yake namie nikaoshe rungu yaelekia kifnyio chake kitamu hatari ndo maana wadau full kubanjua
Naunga mkono hoja.
Oa kwanza ndio upeleke shule.
Sio usomeshe ili malipo yawe kukubali ndoa.
Kama una uwezo una msaidia kielimu sio kutegemea kuja kukulipa fadhila ya kumuoa wengi wakiona HVO lazima akutende tu pole sana mkuu haikua bahati yako.