Mwinjilist mtume nabii
JF-Expert Member
- Feb 21, 2015
- 2,437
- 1,100
Hayo yamewakuta wengi. Nataka pia niongeze kwamba, usithubutu kununua vitu vya kudumu mfano gauni, viatu, nk. eti apendeze. Mpeleke hotelini, bar, na aina nyingine za vyakula na vinywaji. Hivi havina kumbukumbu, akishakwenda chooni ndo basi.
Great thinker katika ubora wake,you have seen it in a new perspective!Tatizo la hao wanaosomesha wachumba/wapenzi hujisahau baada ya kutoa fadhila. Wanabweteka wakijua as long wamesomesha washamaliza kazi hawafanyi chochote cha ziada kuhakikisha penzi linadumu! Lakini pia wapenzi kuachana imekuwa kitu cha kawaida,hivyo akikuacha tambua kuwa sio kwasababu ashapata elimu bali hata usingemsomesha angeweza kukuacha
Vijana wa kiume nawaasa "usithubutu, neve ever kusomesha girlfriend eti kisa unatarajia utakuja kumuoa, acha basi wewe.
Wasichana wengi ni ma-drama queen,atakunyenyekea ili umsomeshe na anaweza akakubali kuolewa na wewe sio kwamba kakupenda ila tu anataka kulipa fadhila,
vurugu huwa inaanza akishapata kazi nzuri ya kumuwezesha kujitegemea utajuta.Jamaa zangu watatu sasa hivi wanajuta!Somesha mke na sio girlfriend.
Unataka chukua hutaki acha
Mpwa ni kweli usemayo ila hana mdhamana hata kidogo mm jamaa wawili job wamewasomesha mbona mmoja nusura tumzike kazi yake ni kunywa sumu tu mara mbili kapona anabahati kua Israel mtoa roho hayupo pamoja nae mwingine kaenda kumtembelea alie msomesha akiwa kituo chake cha kazi maana aliajiriwa. Kakuta kidume kinahemea ndan alie mlipia na kusababisha apate kazi anagonga mlango kidume kinakohoa ndani khoo khoo jamaa nae nusura afe mawazo kibao gari likatafuta pori Mungu mkubwa kapona
Vijana wa kiume nawaasa "usithubutu, neve ever kusomesha girlfriend eti kisa unatarajia utakuja kumuoa, acha basi wewe.
Wasichana wengi ni ma-drama queen,atakunyenyekea ili umsomeshe na anaweza akakubali kuolewa na wewe sio kwamba kakupenda ila tu anataka kulipa fadhila,
vurugu huwa inaanza akishapata kazi nzuri ya kumuwezesha kujitegemea utajuta.Jamaa zangu watatu sasa hivi wanajuta!Somesha mke na sio girlfriend.
Unataka chukua hutaki acha
Wengi wao wabinafsi utasikia nataka nijitegemeee, mara nataka niwe na uwezo wa kufanya mambo yangu. Hapo pote anatumia hela isiyo yake ila anataka hiyo hela imuwezeshe kufanya mambo yake.
Mara oooh sitaki mtegemea mwanadamu mwenzangu, ukishasikia hayo andaa maumivu. Mara nyingi tuangalie na familia wanazotoka
Mimi ndiyo maana girl friend wangu baada ya kumlipia ada nilikuwa kila nikikutana naye lazima nikeshe naye na nilikuwa nikimpa siyo chini ya vitatu yaani mpaka tumeachana roho yangu kwatu yaani tumeachana kiroho safi na sasa ameolewa na nimemchangia mchango wa send off na mpaka kesho nikitaka mchezo ananipa kiroho safi
Wengi wao wabinafsi utasikia nataka nijitegemeee, mara nataka niwe na uwezo wa kufanya mambo yangu. Hapo pote anatumia hela isiyo yake ila anataka hiyo hela imuwezeshe kufanya mambo yake.
Mara oooh sitaki mtegemea mwanadamu mwenzangu, ukishasikia hayo andaa maumivu. Mara nyingi tuangalie na familia wanazotoka
mbona wao hawatusomeshi sisi wanapotupenda?? kumsomesha girlfriend ni sawa na kupanda karanga kwny udongo mfinyazi usitarajie utavuna. ukitaka kumsomesha girlfriend ww mpeleke "chuo cha biblia" huo ushauri wng "pastor"
teh teh
nacheka ila sio mazuri
wengi wanaosomesha means umri umeenda kidogo, bibie akishasoma sasa kapata kazi cjui bandari huko, au pengine popote si anakutana na kijana mwenzie elimu zinaendana, ahaaa kupigwa chini lazima.
Ukiuliza unaambiwa mzee wangu nae anasumbua, mara ooh yule babu si ajifie tu nile bata yapo yanatokea na tunaona