Usithubutu kuoa mwanamke wa hivi

Nimeipenda iyo ya socrates bt ndoa sio majuto mpango mzma ni kumpata mnaefaana piga goti mshirikishe sir Gody..
 

huyu mtoa mada atakuwa ni mliberali huyu.
 
Last edited by a moderator:
sijakuelewa unamanaanisha nini ndugu au umeamua kuniquote tu ili ulete majanga hapa?

imebidi nicheke kwanza kabla sijajibu
maana umekua mkali kwenye post ya pili as if nlikutukana
nikikuelewesha..nimeqoute what you said kwasababu ulikubali alichosema kuhusu kutokukubali the post na ndo maana niliandika back to the topic..
The whole point is,i supported what you supported,umeelewa?
 

yaani huyo akija kwangu kwa hasira namtupa wodi ya vichaa na ninahakikisha haponi..... Tafiti nyingine zinatia hasira ujue!!
 
Last edited by a moderator:
angalia, tazama, ona, chungulia na kuwa makini kwa yule unayetaka kumletea majanga humu cc usikurupuke hovyo kufanya kitu ambacho wengine hawaelewi mtazamo wako take care
Sijakurupuka my dia,
kama hukunielewa ilikua just a matter ya kuniuliza mambo ya MAJANGA,KUCHUNGULIA ETC too vague
 
Usioe binti aliyekulia familia ya single mother.
Usioe binti aliyekulia familia ya single mother na hana mahusiano mazuri na baba yake....huyu ni toxic!

Mwingine huyu! Who told u ujinga huu?
Haya mambo ni mipango ya Mungu,ndio maana wa2 tofauti maskini kwa matajiri wanaona na wanaishi vzr 2,love abides us
 
mhm! kwa hiyo unasemaje?
 
Una maneno King'asti
 
Mvivu wa maombi ndo atakuwa na mawazo kama yako... ni lazma usugue goti ili Mungu akupe wa kufanana na wewe wapo walopitia hayo na yamewafundisha na hawataki yawapate kwenye maisha yao... pia uwezo wako wa kufikiri nadhani ni mdogo
 
hii huwa shilingi ya pande mbili na upande wa pili je?
 
Nimekuelimisha ili ubadilike na uachane na tabia hiyo ambayo haipendezi katika jamii, unaposaidiwa elimika usiwe mbishi.
Una capacity gani ya kunielimisha? nibadilike niwe nani? hiyo tabia ni ipi na je unaeza kuithibisha? unao uhakika kua umenisaidia au nahitaji 'msaada' wako? ubishi hapa ni upi?
 
(A fool with a plan can outsmart a genius with no plan any day..!!!)wala hujakosea kaka mkubwa inahusika sana,,,
 
Ina maana makosa ya wazazi wangu kutokuelewana na kuachana nije nihukumiwe mimi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…