William Mshumbusi
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 1,792
- 2,421
Si kila mwanamke ambae ameolewa zaidi ya mara moja ni malaya, wanawake wengine hawapendi kuzinguliwa; ukimzingua nae anakuzingua na ukiendelea na miyeyusho yako, anasepa zake.....na kwavile nae ni mwanamke, na probably mpenda staha ambae hawezi kuishi na mwanamme bila ndoa; basi atalazimika kuolewa tena!! Lakini akishaolewa, anatulia na ndoa yake(yaani hafanyi uhuni nje) lakini na huko ukimzingua, nae anakuzingua!! Mpango mzima upo hivyo!!Dah! Nakubali mawazo yako hapo juu ni ya msingi, hasa unapotaka kuoa kwenye familia ambayo Baba na Mama waliachana, ni ukweli ambao nimeuishi, ila kwenye 5 na 6 sikubaliani na ww.
I agree to totally disagree with you. You have no proof and we leave in the same society where the type of women you mentioned are living well and happily with their families
In real life, the saying "Samaki mmoja akioza basi wote wameoza" don't really apply. So kama umewaona baadhi don't take it as general.
Mwanaume wa aina yako ndo hafai kabisa! Mwanamke akuibie ina maana yeye anakuwa hana hela ama? Tupishe sie!
Mwanaume wa aina yako ndo hafai kabisa! Mwanamke akuibie ina maana yeye anakuwa hana hela ama? Tupishe sie!
Kweli mkuu maana wakati mwingine matatizo yanayowatokea huwa ni mafunzo kwao kwani tayari wameshaonja dhahama la wazazi kupigana na isitoshe hata hao wazazi wanaopigana wazazi wao (mababu wa huyo binti) hawakuwa na utamaduni wa kudundanahakuna mtu perfect chini ya jua.......
kinachoniudhi kwako mtoa mada unamhukumu binti si kwa makosa yake ila kwa ya familia yake......
kuna wengi walio ndani ya familia za namna hiyo na wanaumizwa na hali hiyo na ndoto zao ni kuhakikisha kuwa wanakuwa na maisha tofauti na ya wazaz na ndugu zao......
nadhani ni vizur zaid kuangalia tabia halisi ya mtu kwanza.....
MSHUKURU MUNGU WEWE UMEBAHATIKA KUZALIWA NA KUKUA KWENYE FAMILIA ILIYOKAMILIKA........
Si kila mwanamke ambae ameolewa zaidi ya mara moja ni malaya, wanawake wengine hawapendi kuzinguliwa; ukimzingua nae anakuzingua na ukiendelea na miyeyusho yako, anasepa zake.....na kwavile nae ni mwanamke, na probably mpenda staha ambae hawezi kuishi na mwanamme bila ndoa; basi atalazimika kuolewa tena!! Lakini akishaolewa, anatulia na ndoa yake(yaani hafanyi uhuni nje) lakini na huko ukimzingua, nae anakuzingua!! Mpango mzima upo hivyo!!
Sasa ole wako uzani yule mwenye watoto zaidi ya mmoja kwa baba mmoja ukazani ndo ame-settle; utaumia!
Awe na sifa asiwe na sifa sioi ng'oo! Ndoa ni majuto, kama unabisha oa/olewa.
Mentor wewe lini unaoa Mkuu?"By all means, marry. If you get a good wife, you'll become happy; if you get a bad one, you'll become a philosopher." - Socrates
Umevurugwa mkuu japo una point lakini umeshindwa ku present nina wasiwasi na elimu yako(uandishi wako hauna logic na hata hizo spelling ni za watu wa facebook) pili uwezo wako wa kufikiria-umeshutumu sana bila ushahidi wa kutosha au bila kuelezea mwisho kabisa...zaidi ya yote UMEPITWA NA WAKATI
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums